min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Aaaah wee mchaga gono sijawahi pataAhahahahha sasa atakwambia ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah wee mchaga gono sijawahi pataAhahahahha sasa atakwambia ukweli?
badoPole sana cha msingi umepona...jilinde sasa usije ukapata hilo supa gono
Kuna gono kwa wanawake?Ahahaha 😀😀😀😀 acha uoga hujanizoea tu mimi dada yako kwa kushangaa...
Wewe ushawahi kuumwa nini sasaSijawahi kuumwa kabisa😁😁😁
Wanapata sana tu ila sio mchaga mimi😁😁Kwahyo wachaga na Gono ni vitu viwili tofauti eti mbeee..😃😃😃😃
Tumbo na mkonoWewe ushawahi kuumwa nini sasa
Mno kalpana wetu😊Vzr sana yani ujilinde hivyo hivyoo...
Chai🍵Tumbo na mkono
JidanganyeChai🍵
Nan na nan?Nawaombea sana 😊😊😊
Mzoefu huyuKwamba ameshapigwa na magonjwa mtambuka...😃😃😃😃
Sio kwelKwamba ameshapigwa na magonjwa mtambuka...😃😃😃😃
Hauwezi amini mimi tumbo huwa linanisumbua hasa nikila vyakula vya kukaanga kinyume na hapo labda mafua na kichwa , kwa nini ushangae hili?Mzoefu huyu