Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

Kuna tafiti zimefanyika kwa watumiaji wa ARVs inaonyesha kuwa HIV( the virus) imetengeneza usugu ( resistance) wa madawa yaliyopo sokoni. TLD inaanza kushindwa kupunguza viral load, maana yake dawa mpya zitahitajika sokoni.
Kwa kifupi kutibu HIV inaanza kuwa ngumu.
Tuendelee kutumia kinga na kujali afya.
 
USIZINI, Mungu sio fala asugue kidole chake kwenye mawe afu we ughaili akuache hivi hivi.
 
Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu....
Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake...
Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote....
Inasababisha kuwa tasa kabisa...
Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo...
Haya malalamiko ya uti zisizopona mjichunguze...
Wapendwa mchukue tahadhari tumieni condom...
Source: BBC Swahilili
Hahaha
 
Kuna tafiti zimefanyika kwa watumiaji wa ARVs inaonyesha kuwa HIV( the virus) imetengeneza usugu ( resistance) wa madawa yaliyopo sokoni. TLD inaanza kushindwa kupunguza viral load, maana yake dawa mpya zitahitajika sokoni.
Kwa kifupi kutibu HIV inaanza kuwa ngumu.
Tuendelee kutumia kinga na kujali afya.
Naam
 
Duuh
 
Condoms vipi hazizuia hiyo gono? Au kwa wale kavu kavu, alafu kuna ugonjwa mbaya sana mwingine wa ini Hepatitis B, ugonjwa hatari sana huu kama hujapata chanjo, uki sex na mtu tu mwenye nayo hata jasho lake anakuambukiza.. Watch out
Sema Sindano za Kinga Zake zipo Mimi nlishachoma hizo Sindano Za Hepatitis B miaka 3 ilopita na Kamwe Siuzagi mechi
 
Back
Top Bottom