Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

mafanikio ya Halland yanachangiwa na timu anayocheza, vipi kuhusu Messi na Ronaldo? hao jamaa walicheza na wachezaji bora zaidi kuliko anaocheza nao Halland.
Wabongo tulivyo, huu mjadala mmeshaufanya kuwa ni ubishi wa Haaland vs Messi. Usichokielewa hapa ni nini? Halaand angekuwa anachezea West Ham sasa hivi angeweza kufunga magoli mengi namna hiyo? Kwani kina Messi hawakuwa na mafanikio? Unajua Messi ameweza kuwa juu kwenye mpira kwa muda gani?
 
sasa goli 6 kwa msimu mmoja ni majivuno?
Unaweza kuprove Messi alikuwa na goli sita ndani ya msimu mmoja......?
Screenshot_20240902_144610_Chrome.jpg
 
Wabongo tulivyo, huu mjadala mmeshaufanya kuwa ni ubishi wa Haaland vs Messi. Usichokielewa hapa ni nini? Halaand angekuwa anachezea West Ham sasa hivi angeweza kufunga magoli mengi namna hiyo? Kwani kina Messi hawakuwa na mafanikio? Unajua Messi ameweza kuwa juu kwenye mpira kwa muda gani?

MKuu Halland anafunga popote, tizama rekodi zake kabla ya kuja CIty, Messi nje ya Barca ni takataka
 
Nje ya Barca Messi anachezea Argentina, ana tuzo mbili za mchezaji bora wa kombe la dunia,tatu za mchezaji bora wa michuano ya Copa America. Maana kama ndio hivyo Pelle nae nje ya Santos ni takataka........si ndio hivyo kwa mtizamo wako? Nyie mpira sijui mnaangaliaga vitu gani........

Kwa hiyo Xavi, Inesta,Gerard, Ramos,Lampard,Scholes,Giggs hawa nao ni takataka...... achana na mpira haukufai.......
 
MKuu Halland anafunga popote, tizama rekodi zake kabla ya kuja CIty, Messi nje ya Barca ni takataka
Ni striker. Huko alikokuwa alikuwa hafungi kama sasa. Unajua Messi amechukuwa kombe la dunia na timu ya taifa? Unasemaje ni takataka wakati muda mwingi wote ameutumia Barcelona? Tusibishane mambo ya kijinga na tusibiri na kuomba uzima tuone Haaland kama atakuweza kufikia mafanikio ya Messi.
 
ilimchukua miaka mingapi kuchukua hilo kombe? Halland amepiga 40 goals and na Dortmund
 
Back
Top Bottom