Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Huyo Haaland mnayemsifia akiondoka tu Pep hapo man city mbona mtamkataa kweupee mshikaji wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wachezaji wenye vipaji wapo wengi tu....Vinicius, Mbappe, Arda guller, Lamine yamal, Cole palmer, Rodrigo, Musiala etc.... We kama unashabikia Timu hohehahe lazima uone vipaji hakuna ila vipo sema kwenye timu yako ndo hakuna.Em fikiria kipindi yupo DROGBA, PATO, PUYOL, INZAGHI, KAKA, RONALDINHO, TEVEZ, LAMPARD, TERRY, VIDIC, FABREGAS, golini wakina Van D sir etc.. jamani mpira umebadirika sanaaa....
Mchezaji wa mwisho kuchukua Ballon d’or epl. Respect man, respectacha kufaninisha Halland na vitu vya kijinga
BinErling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi.
➜ 69 - Games.
➜ 70 - Goals scored.
Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌
Harry Kane :
⚽⚽⚽ vs Burnley
⚽⚽⚽ vs. Southampton
⚽⚽⚽⚽ vs Leicester
⚽⚽⚽ vs Hull
Erling Haaland
⚽⚽⚽ vs Palace
⚽⚽⚽ vs Nottingham Forest
⚽⚽⚽ vs Ipswich
⚽⚽⚽ vs West Ham
ℹ️ Bernardo Silva amefikisha Assists (44) EPL, Assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Portugal 🇵🇹 kwenye historia ya EPL.
Full - West Ham 1 - 3 Man City
⚽️⚽️⚽️ Haaland — 10', 30', 83'
⚽ Dias (Own Goal) — 19'
Ni kosa kubwa sana kumuacha kipara (Pep) akutangulie points, Arsenal wameshafanya kosa hilo mapema sana ! 😀
Full - Arsenal 1 - 1 Brighton.
Tom Cruz facts 🧠
Hili nililitarajia.Erling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi.
➜ 69 - Games.
➜ 70 - Goals scored.
Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌
Harry Kane :
⚽⚽⚽ vs Burnley
⚽⚽⚽ vs. Southampton
⚽⚽⚽⚽ vs Leicester
⚽⚽⚽ vs Hull
Erling Haaland
⚽⚽⚽ vs Palace
⚽⚽⚽ vs Nottingham Forest
⚽⚽⚽ vs Ipswich
⚽⚽⚽ vs West Ham
ℹ️ Bernardo Silva amefikisha Assists (44) EPL, Assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Portugal 🇵🇹 kwenye historia ya EPL.
Full - West Ham 1 - 3 Man City
⚽️⚽️⚽️ Haaland — 10', 30', 83'
⚽ Dias (Own Goal) — 19'
Ni kosa kubwa sana kumuacha kipara (Pep) akutangulie points, Arsenal wameshafanya kosa hilo mapema sana ! 😀
Full - Arsenal 1 - 1 Brighton.
Tom Cruz facts 🧠
Wewe mpira ulikua huangalii kitendo Cha mtu kukaa na wewe mda wote ni unamnyanyasa huoni Kila mda alikua yeye na halland wakati mwenzake yupo kawaida tu ila yeye amemkamia kiufupi hamuwezi kama angekua wa kawaida angerela
Mwisho wa mechi anayepongezwa ni Rudiger kwa kuifanya kazi yake. Over!Wewe mpira ulikua huangalii kitendo Cha mtu kukaa na wewe mda wote ni unamnyanyasa huoni Kila mda alikua yeye na halland wakati mwenzake yupo kawaida tu ila yeye amemkamia kiufupi hamuwezi kama angekua wa kawaida angerelax
Nachojua Ronaldo na mwenzie wakati wao umepita.Halland amekuwa mchezaji bora wa epl mara ngapi?
Atayapita tena mbali sana Mungu taupe uhai Tu ntarudi sikumoja kufukua hili kaburiHalaand hata achezs uchi hawezi kuyafikia magoli ya hao majini.
Kama ingekua hivyo kina coutinho na kina Malcolm wange shine.Waliyafanyia Spain sio England,Spain hata mimi nafunga kila week
Hiki akili za ki-bongo bongo, kilimbukeni limbukeni hizi! Kila kitu zinadhani ni ligi au chuki. Hapa watu wanatoa analysis zao siyo lazima ukubali. Hii dunia kila mtu ana shughuli na kipaji chake lakini haimzuii kusifia au kuelezea wengine. Hatuwezi kufikiri kwa aina moja. Kusema Haaland ni striker tofautu na Messi ambaye ni kiungo inahitaji mimi kwenda kuchukua nafasi yake? Idiot at his/her main camp! Koma kabisa kunizoea.Nenda kacheze wewe nafasi ya halland upate MAFANIKIO hayo
Aagh wee ni matusi kumshindanisha Aguero na Halland.Najua litapingwa hili ila Aguero alikuwa ni mzuri kuliko hata huyu Haaland anaeshinda hizi goli nyingi
Mbappe anakupa vitu vingi.madrid badala wangemchukua harlaand wakaenda chukua mwanariadha mbape
Hiki ndicho tunachokisema Haaland hakiwezAagh wee ni matusi kumshindanisha Aguero na Halland.
Aguero alikua anatoka injury with in few matches unamkuta yupo top three ya wafungaji pale EPL.
Aguero huyu ukimpa mpira umuache na mabeki watatu ama wanne wameisha anawatambuka wote.
Aguero alikua anaweza kuutafuta mpira na kufunga.
Kawaida tu hiyo,huwezi kujudge kwa mifano ya wachezaji wawili watatu bali kwa ujumla wake,ni EPL pekee ambapo time inayoshuka daraja inaweza kumfunga title contenderKama ingekua hivyo kina coutinho na kina Malcolm wange shine.
Eden Hazard katoka England Chelsea akiwa wamoto alifanya nini kule Real madrid!??
Usitake kutuchota akili hapa kaka.
Ina maana haujui owen alichukua balon dor kweli humu watoto ni wengiKagugo vizuri
Haaland ni natural striker, zaidi ya kufunga unataka afanye nn tena? Messi alikua playmaker ndio maana uliona akiwa tofautiMfano mechi ya Man City vs West Harm alifanya nini haswa uwanjani tofauti na kufunga magoli tu? Hana vigezo vya ubora kufikia akina Cr7 na Messi hata kwa 25% tu, Haaland wa kawaida sana tu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kacheze wewe kelele za nini analysis utoe wewe takataka wa sigimbi huko juu ya halland hivi unaakili timamu kweliHiki akili za ki-bongo bongo, kilimbukeni limbukeni hizi! Kila kitu zinadhani ni ligi au chuki. Hapa watu wanatoa analysis zao siyo lazima ukubali. Hii dunia kila mtu ana shughuli na kipaji chake lakini haimzuii kusifia au kuelezea wengine. Hatuwezi kufikiri kwa aina moja. Kusema Haaland ni striker tofautu na Messi ambaye ni kiungo inahitaji mimi kwenda kuchukua nafasi yake? Idiot at his/her main camp! Koma kabisa kunizoea.
na uzuri wa pep mie nampendaga zikiwa zimebakia mechi 12 msimu kuisha. aloooooo atapiga mechi 10 au 11 ni ushindi tuuu.Erling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi.
➜ 69 - Games.
➜ 70 - Goals scored.
Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌
Harry Kane :
⚽⚽⚽ vs Burnley
⚽⚽⚽ vs. Southampton
⚽⚽⚽⚽ vs Leicester
⚽⚽⚽ vs Hull
Erling Haaland
⚽⚽⚽ vs Palace
⚽⚽⚽ vs Nottingham Forest
⚽⚽⚽ vs Ipswich
⚽⚽⚽ vs West Ham
ℹ️ Bernardo Silva amefikisha Assists (44) EPL, Assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Portugal 🇵🇹 kwenye historia ya EPL.
Full - West Ham 1 - 3 Man City
⚽️⚽️⚽️ Haaland — 10', 30', 83'
⚽ Dias (Own Goal) — 19'
Ni kosa kubwa sana kumuacha kipara (Pep) akutangulie points, Arsenal wameshafanya kosa hilo mapema sana ! 😀
Full - Arsenal 1 - 1 Brighton.
Tom Cruz facts 🧠
Hata kama ataweza kumaintain hatolinganishwa na Messi na Ronaldo labda level zake zitakuwa kina Lewandowski, Suarez, Ibrahimovic
Ronaldo na Messi katk peak zao walikuwa ni zaid ya huyu Haaland unaemuona leo si tu ku score goals namna za dribbling zao, speed, skills magoli ya kipekee ambayo wakishinda namna wanavyodominate game uwanjani
Ni Neymar na Salah ambao at least ndo wameweza kukaribia hizo level
Foolishness is a heavy burden. The problem is that it can't be fixed. You have a very slave-like mentality, and you see yourself as being so low that you despise yourself. This is a problem caused by a lack of exposure and poor education. Nenda huko uswekeni kwenu uswazi ukajibizane wa wajinga wenzako.Kacheze wewe kelele za nini analysis utoe wewe takataka wa sigimbi huko juu ya halland hivi unaakili timamu kweli
Hana uwezo wa kufunga goli 70 kila msimu
Haaland akitengana na Guardiola tu hatokuwa ktk peak hii tena