Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Ttz watu wanazidisha mahaba wanashindwa kuangalia mambo kiuhalisia
shida ya jf ni kwamba yule unayemdhania ni afadhali unakuja kugundua kumbe ni walewale tu,

mm nimekuja na hoja ya gen z kudai kuwa dihno hakuwa mchezaji bali alikuwa ball dancer.

nyie mnaacha hoja pembeni mnaanza kusema mambo ya messi kuwa play maker na dihno kuwa dribbler.

wakuu mnajua kusoma na kuelewa?

Kosugi
 
Kumradhi mkuu.
 
Watu wengi hawaelewi.. mpira miaka 10 nyuma na sasa hivi kuna utofauti sana.

Zamani kulikuwa na WACHEZAJI hasa..

Siku hizi hakuna kitu, ndio maana kizazi cha CR7 na Messi kikiondoka hakuna mvuto.

Em fikiria kipindi yupo DROGBA, PATO, PUYOL, INZAGHI, KAKA, RONALDINHO, TEVEZ, LAMPARD, TERRY, VIDIC, FABREGAS, golini wakina Van D sir etc.. jamani mpira umebadirika sanaaa....
 
Kizazi cha mwisho cha dhahabu ndio hiki cha kina Messi,Ronaldo,Suarez,Aguero,Modric,Marcelo.
Na hapo baadhi washastaafu na waliobaki soon wanastaafu.
 
Hayo mambo wakina mess na ronaldo walishafanya back to back....

CR7 amechukua tuzo ya ballon dior akiwa EPL nitajie mwengine aliyefanya ivo.

Huyu halland anatamba Man city akicheza na team ndogo akicheza na wakubwa wenzie anafichwa haonekani,watu wanamweka kwapani
Waliyafanyia Spain sio England,Spain hata mimi nafunga kila week
 
Bwabwa lile mkuu haliwez cheza madrid na hautasikia kama akiwaniwa sawa na akina k de bruyne, raheem stelling foden kwenye ubora wao huwez sikia bayern juve au barca wakiwataka
Thamani yake ipo juu sana
Akitoka City safari inaweza kuwa Madrid Barca etc kwa dau kubwa
 
Kizazi cha mwisho cha dhahabu ndio hiki cha kina Messi,Ronaldo,Suarez,Aguero,Modric,Marcelo.
Na hapo baadhi washastaafu na waliobaki soon wanastaafu.
Ndio maama mie mpira siku hzi sifatilii.

Sioni ule mvuto wa kipindi kile. Ukisikia EL CLASSICO ujue nyasi zinaumia kweli.

Enzi za mabifu ya uwanjani.. MABEKI wenye roho mbaya wakina PEPE, VIDIC, FERDINAND, PUYOL na jamaa fulani linaitwa GATUSO mguu wa shingo.
 
Hayo mambo wakina mess na ronaldo walishafanya back to back....

CR7 amechukua tuzo ya ballon dior akiwa EPL nitajie mwengine aliyefanya ivo.

Huyu halland anatamba Man city akicheza na team ndogo akicheza na wakubwa wenzie anafichwa haonekani,watu wanamweka kwapani
Magoli yenyewe sasa mepesi balaa, Beki kama akina Stam au Ashley Cole siku hizi hawapo kabisa, wanamuacha akiwa free hata hazongwi kama Man City vs West harm.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Yani yule jamaa kwa football skill alikua vizuri ila kusema kuichezesha timu aaagh wee hajamfikia messi.
Messi akipanda timu inapanda messi akishuka timu inashuka.
Ndio maana hata Barcelona ilikua ukimkaba Messi umeua timu.
Maana mipita itakua haitembei.
Wewe huna akili timamu unasema ronadinho alikua achezeshi timu hivi unajua mpira kweli wewe embu usimuweke ronadinho kwenye huo ujinga wenu
 
Haaland ni striker mzuri sana. Ila mafanikio yake yamechangiwa na timu anayochezea. Ni nzuri na inampa service nzuri. Uchezaji wa Messi ni wa aina nyingine, ie kiungo na anajua kucheza na mpira. Ronaldo naye ni mchezaji mwenye uchotara wa Striker, winger na elements za kiungo.
Nenda kacheze wewe nafasi ya halland upate MAFANIKIO hayo
 
Ndio maama mie mpira siku hzi sifatilii.

Sioni ule mvuto wa kipindi kile. Ukisikia EL CLASSICO ujue nyasi zinaumia kweli.

Enzi za mabifu ya uwanjani.. MABEKI wenye roho mbaya wakina PEPE, VIDIC, FERDINAND, PUYOL na jamaa fulani linaitwa GATUSO mguu wa shingo.
Mabeki wa siku hizi mlenda mlenda na hawawezi kukaba Mtu na Mtu hadi kivuli kama akina Sergio Ramos, Pepe, Canavaroh.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Messi na Ronaldo ni complete players mzee
Ni wachezaji ambao wanaweza kuibeba timu wao kama wao pale timu inapozidiwa
Uwezo wao wa skills, dribbling, shooting power
Eg rejea game ya Man u vs fc porto
Barcelona vs bayern

Haaland form yake anategemea timu yake iwe ime dominate game wakishikwa pabaya tu basi hata kugusa mpira kwake mtihani
Ana bahati siku hizi akina Gatuso wameshazeeka kuna mechi Man Utd vs AC Milan CR7 alipitia mateso japo ni bora mara 100 kuliko Haaland, pia kuna mechi La Liga Messi alikabwa hadi alirusha ngumi uwanjani 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
mnafurahisha huyu kataja Halaand analetewa CR7then analetewa Messi analetewa Ronaldinho 😅😅😅😅😅😅
hatarii
 
Ana bahati siku hizi akina Gatuso wameshazeeka kuna mechi Man Utd vs AC Milan CR7 alipitia mateso japo ni bora mara 100 kuliko Haaland, pia kuna mechi La Liga Messi alikabwa hadi alirusha ngumi uwanjani 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Wewe hizo beki mchuzi tu Kwa streka kama halland akiwa kwenye ubora wake watamzidi nini jamaa kapewa Kila kitu nguvu hawamuwezi urefu anao akili anazo Sasa watamzidi nini acheni kusifiasifia vitu ongeeni mpira halland ananyanyasa beki yeyote Ile yaani wanavosifiwa hao mabeki kanakwamba wanamiguu sita wasingefungwa kipindi hicho acheni uongo
 
Back
Top Bottom