granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
mkuu na wewe unataka kuungana na gen z kuwa dinho alikuwa ball dancer?Alafu kingine Dinho alikuwa mtu anaejua kuuchezea mpira ila sio wa kutegemea sana kwenye timu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu na wewe unataka kuungana na gen z kuwa dinho alikuwa ball dancer?Alafu kingine Dinho alikuwa mtu anaejua kuuchezea mpira ila sio wa kutegemea sana kwenye timu
Wasiojuwa mpira hawatajua hii zaidi ya porojo tu za kishabiki.Labda useme katika ufungaji,ila ukija katika sifa za complete player Halland hampati Messi wala Ronaldo.
Maana Ronaldo na Messi kuna vitu wana offer tofauti na ufungaji.
Hao majamaa wawili wanaweza wakachezesha timu hususan Messi ila Halland anakupa magoli tu.
DInho nimeanza kumuangalia kuanzia 2002mkuu na wewe unataka kuungana na gen z kuwa dinho alikuwa ball dancer?
Arsenal ndio basi tenaErling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi.
➜ 69 - Games.
➜ 70 - Goals scored.
Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌
Harry Kane :
⚽⚽⚽ vs Burnley
⚽⚽⚽ vs. Southampton
⚽⚽⚽⚽ vs Leicester
⚽⚽⚽ vs Hull
Erling Haaland
⚽⚽⚽ vs Palace
⚽⚽⚽ vs Nottingham Forest
⚽⚽⚽ vs Ipswich
⚽⚽⚽ vs West Ham
ℹ️ Bernardo Silva amefikisha Assists (44) EPL, Assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Portugal 🇵🇹 kwenye historia ya EPL.
Full - West Ham 1 - 3 Man City
⚽️⚽️⚽️ Haaland — 10', 30', 83'
⚽ Dias (Own Goal) — 19'
Ni kosa kubwa sana kumuacha kipara (Pep) akutangulie points, Arsenal wameshafanya kosa hilo mapema sana ! 😀
Full - Arsenal 1 - 1 Brighton.
Tom Cruz facts 🧠
Tafuteni taarifa sahihi kabla ya kuweka ubishi.Huna unachojua.
basi mkuu hata like zako sitaki tena kwenye koments zangu, uwe unapita tu japo najua we ni mgawa like no 1 jf. daaah aiseeDInho nimeanza kumuangalia kuanzia 2002
Jamaa alikuwa mzuri sana ktk kuuchezea mpira na kuumiliki ila sio wa kutegemea sana pale timu inapo hitaji matokeo
Haaland ni striker mzuri sana. Ila mafanikio yake yamechangiwa na timu anayochezea. Ni nzuri na inampa service nzuri. Uchezaji wa Messi ni wa aina nyingine, ie kiungo na anajua kucheza na mpira. Ronaldo naye ni mchezaji mwenye uchotara wa Striker, winger na elements za kiungo.Ronaldo misimu 8 PL hattrick 3
Halland msimu wa 3 Hattrick 8
Dhamani yake kwa sasa haishikikiHuyu jamaa mbona sisikii timu zikimuwania kumchukua eg madrid
Lijamaa linalijua goli sana.Ronaldo misimu 8 PL hattrick 3
Halland msimu wa 3 Hattrick 8
Tafuta na taarifa za “assists”Tafuteni taarifa sahihi kabla ya kuweka ubishi.
Cr7 kwa misimu 8 aliyocheza Epl ana 3 hat tricks, 103 goals and 37 assists in 236 games.
Haaland kwa misimu miwili na kidogo, ana 8 hat tricks, 70 goals and 13 assists in 69 games.
Ronaldo alikua anahudumu namba ngapi pale Man united??Tafuteni taarifa sahihi kabla ya kuweka ubishi.
Cr7 kwa misimu 8 aliyocheza Epl ana 3 hat tricks, 103 goals and 37 assists in 236 games.
Haaland kwa misimu miwili na kidogo, ana 8 hat tricks, 70 goals and 13 assists in 69 games.
Individual brilliance unaipima kwa nini?Huyo Dihno mwenyewe alishakiri kwenye ubora wake kipindi Messi yupo timu ya vijana Barca wakiwa US kwenye pre season,kwamba Messi atakuja kuwa mchezaji bora kuliko yy.Labda uniambia ronaldo, ila Messi kwa Dihno Messi ni bora.Uzuri Dihno nimemuona tokea alipokuwa PSG,Barca na AC Milan.hizo zote ni porojo tu, wachezaji wengi tu wameshawin games individually, ila kilichowaweka wao juu ni namba na sio indiviidual brilliance.
Unaweza nambia in which angle Cr 7 au Messi wanamzidi ronaldinho in terms of individual brilliance?
kinachowafanya wao waheshimike zaidi ni numbers ambazo kijana halland anazitafuna,
Ni mtu wa kukaa golini asubiri mpira uingizwe golini.Lijamaa linalijua goli sana.
Kaitafute game ya Madrid na Barcelona waliyotoka 3-3 messi akiwa na namba 19 mgongoni na akiwa na miaka 19 akishinda hatrick na kuipa sare Barcelona baada ya kutanguliwa tatu na Madrid Dinho akiwa ndani.hizo zote ni porojo tu, wachezaji wengi tu wameshawin games individually, ila kilichowaweka wao juu ni namba na sio indiviidual brilliance.
Unaweza nambia in which angle Cr 7 au Messi wanamzidi ronaldinho in terms of individual brilliance?
kinachowafanya wao waheshimike zaidi ni numbers ambazo kijana halland anazitafuna,
Hakuna cha gen z wala nini.basi mkuu hata like zako sitaki tena kwenye koments zangu, uwe unapita tu japo najua we ni mgawa like no 1 jf. daaah aisee
Sawa kabisa. Haaland mambo kuchezea mpira siyo zake. Kiboko wa kuchambua mabeki ni Messi. Hata Ronaldo ni mzuri japo hafikii ubora wa Mesii.Tafuta na taarifa za “assists”
Haaland ni strike number 9.
Roles za Ronaldo na Messi zilikuwa tofauti. Ndo maana utakuja kugunduwa hilo kwenye ballon dior
Hawana adabu vijana hawa.Wasiojuwa mpira hawatajua hii zaidi ya porojo tu za kishabiki.
kwa hyo na wewe unakubaliana na gen z kuwa dinho hakuwa mchezaji bali alikuwa ball dancer?Hakuna cha gen z wala nini.
Wewe kafuatilie nani ana tuzo za kuwa best playmaker kuliko mwenzake baina ya Messi na Ronadinho.
Nani anatangazwa kuwa best dribbler baina ya messi na dinho halafu urudi hapa.
Ttz watu wanazidisha mahaba wanashindwa kuangalia mambo kiuhalisiaHakuna cha gen z wala nini.
Wewe kafuatilie nani ana tuzo za kuwa best playmaker kuliko mwenzake baina ya Messi na Ronadinho.
Nani anatangazwa kuwa best dribbler baina ya messi na dinho halafu urudi hapa.