Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tap in sio rahisi. Kabla ya halaand hapo man city kulikua na strikers Kama Gabriel Jesus, Iheanacho. Kwa nini hawakua wanafunga hizo Tap-ins?Haaland mzee wa tap in
Mzee wa kutengewa, anapotea ktk big matches
Ulimshuhudi Ronaldo msimu alioweka rekodi ya kufunga goli 31 epl?
Mpe heshima yake