MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Huyu dogo ana mahaba na halland hata cr7 wakati anacheza man utd hajamuona.Labda useme katika ufungaji,ila ukija katika sifa za complete player Halland hampati Messi wala Ronaldo.
Maana Ronaldo na Messi kuna vitu wana offer tofauti na ufungaji.
Hao majamaa wawili wanaweza wakachezesha timu hususan Messi ila Halland anakupa magoli tu.