Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

Labda useme katika ufungaji,ila ukija katika sifa za complete player Halland hampati Messi wala Ronaldo.
Maana Ronaldo na Messi kuna vitu wana offer tofauti na ufungaji.
Hao majamaa wawili wanaweza wakachezesha timu hususan Messi ila Halland anakupa magoli tu.
Wasiojuwa mpira hawatajua hii zaidi ya porojo tu za kishabiki.
 
Erling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi.

➜ 69 - Games.
➜ 70 - Goals scored.

Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌

Harry Kane :
⚽⚽⚽ vs Burnley
⚽⚽⚽ vs. Southampton

⚽⚽⚽⚽ vs Leicester
⚽⚽⚽ vs Hull

Erling Haaland

⚽⚽⚽ vs Palace
⚽⚽⚽ vs Nottingham Forest

⚽⚽⚽ vs Ipswich
⚽⚽⚽ vs West Ham

ℹ️ Bernardo Silva amefikisha Assists (44) EPL, Assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Portugal 🇵🇹 kwenye historia ya EPL.

Full - West Ham 1 - 3 Man City

⚽️⚽️⚽️ Haaland — 10', 30', 83'
⚽ Dias (Own Goal) — 19'

Ni kosa kubwa sana kumuacha kipara (Pep) akutangulie points, Arsenal wameshafanya kosa hilo mapema sana ! 😀

Full - Arsenal 1 - 1 Brighton.

Tom Cruz facts 🧠
Arsenal ndio basi tena
 
DInho nimeanza kumuangalia kuanzia 2002
Jamaa alikuwa mzuri sana ktk kuuchezea mpira na kuumiliki ila sio wa kutegemea sana pale timu inapo hitaji matokeo
basi mkuu hata like zako sitaki tena kwenye koments zangu, uwe unapita tu japo najua we ni mgawa like no 1 jf. daaah aisee
 
Ronaldo misimu 8 PL hattrick 3
Halland msimu wa 3 Hattrick 8
Haaland ni striker mzuri sana. Ila mafanikio yake yamechangiwa na timu anayochezea. Ni nzuri na inampa service nzuri. Uchezaji wa Messi ni wa aina nyingine, ie kiungo na anajua kucheza na mpira. Ronaldo naye ni mchezaji mwenye uchotara wa Striker, winger na elements za kiungo.
 
Tafuteni taarifa sahihi kabla ya kuweka ubishi.

Cr7 kwa misimu 8 aliyocheza Epl ana 3 hat tricks, 103 goals and 37 assists in 236 games.

Haaland kwa misimu miwili na kidogo, ana 8 hat tricks, 70 goals and 13 assists in 69 games.
Tafuta na taarifa za “assists”

Haaland ni striker number 9.

Roles za Ronaldo na Messi zilikuwa tofauti. Ndo maana utakuja kugunduwa hilo kwenye ballon dior
 
Tafuteni taarifa sahihi kabla ya kuweka ubishi.

Cr7 kwa misimu 8 aliyocheza Epl ana 3 hat tricks, 103 goals and 37 assists in 236 games.

Haaland kwa misimu miwili na kidogo, ana 8 hat tricks, 70 goals and 13 assists in 69 games.
Ronaldo alikua anahudumu namba ngapi pale Man united??
 
hizo zote ni porojo tu, wachezaji wengi tu wameshawin games individually, ila kilichowaweka wao juu ni namba na sio indiviidual brilliance.

Unaweza nambia in which angle Cr 7 au Messi wanamzidi ronaldinho in terms of individual brilliance?
kinachowafanya wao waheshimike zaidi ni numbers ambazo kijana halland anazitafuna,
Individual brilliance unaipima kwa nini?Huyo Dihno mwenyewe alishakiri kwenye ubora wake kipindi Messi yupo timu ya vijana Barca wakiwa US kwenye pre season,kwamba Messi atakuja kuwa mchezaji bora kuliko yy.Labda uniambia ronaldo, ila Messi kwa Dihno Messi ni bora.Uzuri Dihno nimemuona tokea alipokuwa PSG,Barca na AC Milan.

Unamzungumzia mchezaji mwenye uwezo wa kuscore hata akiwa na wachezaji watano, Messi ana solo goli zaidi ya mia.Huwezi kufunga solo goli kama hauna skills.Kuanzia Skills,Assisting,Vision,Dribbling, finishing, play making Messi ni bora kuliko Dihno na Dihno mwenyewe kakiri.
 
hizo zote ni porojo tu, wachezaji wengi tu wameshawin games individually, ila kilichowaweka wao juu ni namba na sio indiviidual brilliance.

Unaweza nambia in which angle Cr 7 au Messi wanamzidi ronaldinho in terms of individual brilliance?
kinachowafanya wao waheshimike zaidi ni numbers ambazo kijana halland anazitafuna,
Kaitafute game ya Madrid na Barcelona waliyotoka 3-3 messi akiwa na namba 19 mgongoni na akiwa na miaka 19 akishinda hatrick na kuipa sare Barcelona baada ya kutanguliwa tatu na Madrid Dinho akiwa ndani.
Pia nenda katafiti Dinho ana assist ngapi na Messi ana assist ngapi kesha uje useme nani ni zaidi.
 
basi mkuu hata like zako sitaki tena kwenye koments zangu, uwe unapita tu japo najua we ni mgawa like no 1 jf. daaah aisee
Hakuna cha gen z wala nini.
Wewe kafuatilie nani ana tuzo za kuwa best playmaker kuliko mwenzake baina ya Messi na Ronadinho.
Nani anatangazwa kuwa best dribbler baina ya messi na dinho halafu urudi hapa.
 
Tafuta na taarifa za “assists”

Haaland ni strike number 9.

Roles za Ronaldo na Messi zilikuwa tofauti. Ndo maana utakuja kugunduwa hilo kwenye ballon dior
Sawa kabisa. Haaland mambo kuchezea mpira siyo zake. Kiboko wa kuchambua mabeki ni Messi. Hata Ronaldo ni mzuri japo hafikii ubora wa Mesii.
 
Hakuna cha gen z wala nini.
Wewe kafuatilie nani ana tuzo za kuwa best playmaker kuliko mwenzake baina ya Messi na Ronadinho.
Nani anatangazwa kuwa best dribbler baina ya messi na dinho halafu urudi hapa.
Ttz watu wanazidisha mahaba wanashindwa kuangalia mambo kiuhalisia
 
Back
Top Bottom