Halafu kuna mtu anamfananisha Msuva na watu waliochoka

Halafu kuna mtu anamfananisha Msuva na watu waliochoka

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Inashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa.

Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe magoli aliyofunga Msuva na wachezaji wengine.

Hakuweza akaishia kutukana tu na kwenda kujisaidia haja kubwa akaenda kulala bila kutawaza.

Soma Pia: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
 
Inashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa. Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe magoli aliyofunga Msuva na wachezaji wengine.

Hakuweza akaishia kutukana tu na kwenda kujisaidia haja kubwa akaenda kulala bila kutawaza
Mpira ni dk 90 shehe,kwa sasa tulia kimya
 
Ila hana utulivu ndani ya box, mpaka sasa hivi angekuwa hata na goli 2.. Angekuwa ana utulivu kama wa kina chama tu ndani ya box, basi juhudi zake zingemlipa mara 2.
Kuna match moja Ronaldo alikosa bao 4 ambazo ni za wazi kabisa. Na kuna match alikosa penalty. Siku mbaya inakuwepo. Alipokosa yeye nani akaja kufunga badala yake?
 
Huyo ndiye shujaa asiyeimbwa kuna mmoja aliachwa mpk baba mzazi akawa analalama ila Msuva hakuna aliyemsemea ila aliporudishwa kaibeba stars kuipeleka Morocco
Msuva hana bahati ya kupendwa na kuimbwa. Kuna mchezaji kweli akiachwa baba yake anakuja juu kuwa kwa nini mtoto wake hapangwi. TFF wanampanga. Msuva matches mbili za mwisho hizi katupia. Sikosei ana bao kama 3 hivi katika hii michezo. Anayeimbwa mpaka sasa sijui hata kama ana assist
 
Tumeshinda Bc mtasifia hadi wakata nyasi wa uwanjani
 
Inashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa.

Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe magoli aliyofunga Msuva na wachezaji wengine.

Hakuweza akaishia kutukana tu na kwenda kujisaidia haja kubwa akaenda kulala bila kutawaza.

Soma Pia: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Acheni kumu hype mbona kakosa nafasi nyingi sana
 
Back
Top Bottom