Halafu kuna mtu anamfananisha Msuva na watu waliochoka

Halafu kuna mtu anamfananisha Msuva na watu waliochoka

Huyo ndiye shujaa asiyeimbwa kuna mmoja aliachwa mpk baba mzazi akawa analalama ila Msuva hakuna aliyemsemea ila aliporudishwa kaibeba stars kuipeleka Morocco
Kwani si umseme tu ni samata ambaye hanamchango wowote stars. Unajuvunia ukapten unayecheza nafas ya ushambuliaji ila huna goli lolote hata la offside..[emoji706]
 
Wewe ni miongono mwa watu wanaoangalia magoli tu mpirani,tangu mechi ya Ethiopia, mpango kazi ni msuva ndiye mtu wa mwisho kumalizia move ya stars,mipira mingi imkute yeye
We bwege sana.unadhani kinachokupa points uwanjani ni nini kama si magoli?nenda kakate kiuno uone kama utapata points. Mpira ni magoli.
 
Kwani si umseme tu ni samata ambaye hanamchango wowote stars. Unajuvunia ukapten unayecheza nafas ya ushambuliaji ila huna goli lolote hata la offside..[emoji706]
Samata hajawa na mchango wowote kusema kweli. Watu wanamwogopa tu baba yake kuwa asipopangwa atalalamika.
 
Back
Top Bottom