Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mpira ni dk 90 shehe,kwa sasa tulia kimyaInashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa. Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe magoli aliyofunga Msuva na wachezaji wengine.
Hakuweza akaishia kutukana tu na kwenda kujisaidia haja kubwa akaenda kulala bila kutawaza
Kakosa mangapi Leo!?Inashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa.
Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe magoli aliyofunga Msuva na wachezaji wengine.
Hakuweza akaishia kutukana tu na kwenda kujisaidia haja kubwa akaenda kulala bila kutawaza.
Soma Pia: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
A stupid question. So nani aliyefunga baada ya yeye kukosa?Kakosa mangapi Leo!?
Kuna watu wanamchezesha tu for no reasonSumaia sijawahi ona mchango wake!!
Kuna match moja Ronaldo alikosa bao 4 ambazo ni za wazi kabisa. Na kuna match alikosa penalty. Siku mbaya inakuwepo. Alipokosa yeye nani akaja kufunga badala yake?Ila hana utulivu ndani ya box, mpaka sasa hivi angekuwa hata na goli 2.. Angekuwa ana utulivu kama wa kina chama tu ndani ya box, basi juhudi zake zingemlipa mara 2.
Umeelewa lakini nilichosema!?Kuna match moja Ronaldo alikosa bao 4 ambazo ni za wazi kabisa. Na kuna match alikosa penalty. Siku mbaya inakuwepo. Alipokosa yeye nani akaja kufunga badala yake?
T. Stars ilihitaji points 3 imepata. Pongezi kwa Msuva.Umeelewa lakini nilichosema!?
Msuva hana bahati ya kupendwa na kuimbwa. Kuna mchezaji kweli akiachwa baba yake anakuja juu kuwa kwa nini mtoto wake hapangwi. TFF wanampanga. Msuva matches mbili za mwisho hizi katupia. Sikosei ana bao kama 3 hivi katika hii michezo. Anayeimbwa mpaka sasa sijui hata kama ana assistHuyo ndiye shujaa asiyeimbwa kuna mmoja aliachwa mpk baba mzazi akawa analalama ila Msuva hakuna aliyemsemea ila aliporudishwa kaibeba stars kuipeleka Morocco
Kufunga siyo ishu ikiwa timu imeweka mfumo unaofanya wewe uwe mtu wa mwisho kwenye shambuliziA stupid question. So nani aliyefunga baada ya yeye kukosa?
Very stupid comment. Yaani ukiwekewa huo mfumo. Unafunga tu? Ha ha ha ha....xπππππKufunga siyo ishu ikiwa timu imeweka mfumo unaofanya wewe uwe mtu wa mwisho kwenye shambulizi
Acheni kumu hype mbona kakosa nafasi nyingi sanaInashangaza sana. Ni vile tu Msuva hana watu wa kumpigia debe na ni kweli hakuwahi cheza Europe. Lakini kwa mchango kwa Team ya Taifa.
Msuva ana mchango sana. Nlimtega mtu mmoja alinganishe magoli aliyofunga Msuva na wachezaji wengine.
Hakuweza akaishia kutukana tu na kwenda kujisaidia haja kubwa akaenda kulala bila kutawaza.
Soma Pia: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Angalia pasi za mwisho zinamfikia nani zaidiVery stupid comment. Yaani ukiwekewa huo mfumo. Unafunga tu? Ha ha ha ha....xπππππ
Halafu akafunga nani baada ya yeye kukosa? Ni wivu tu unawasumbua.Acheni kumu hype mbona kakosa nafasi nyingi sana
Unadhani kwa nini anazipata yeye na si mwingine?Angalia pasi za mwisho zinamfikia nani zaidi