Halafu utashangaa taifa lipo kwenye msiba

Nimepitia baadhi ya comments ya uzi huu mimi hapana 🙌🙌 watu wameshindikana
 
Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😢kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda
Nafikiri unatania.
Wafiwa ni mke na watoto tu tusidanganyane.
 
.......tatizo wapendwa wanatuacha ghafla mno, tena wanafariki siku za miadi, anyway tutajitahidi, ila tukishindwa tutanjunjana kwa huzuni hivyohivyo.......
 
Aisee ukute demu flan portable umpate saizi🙆unamuwe mbuzi kakubali kwenda, ukipeleka speedy 120 mpaka anakosa stamina analalia tumbo😁😁😁😁

RIP kwa wenetu waliorudisha mpira kwa sir God
 
Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😢kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda
Unajuwa umri wa kiblia kuishi? Tunasheherekea maisha ya Membe duniani, kula, kunywa na kuvuana chupi ndio sherehe inanoga.

Kwa Le Mutuz ndio sina hata la kusema Mzee wa mabebez unataka tumuenzi kwa kipi? hebu tuache hata wewe MPE mtu aichakate ndio utatendea haki hii misiba.
 
Ndo tunaenda mchezo wa Pili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…