Halafu utashangaa taifa lipo kwenye msiba

Siku hizi kuna misiba basi misiba imekuwa sehemu za kutongozana na show off

Kama hizi mambo za kulala msibani utashangaa mwana anatoka ghafla haujakaa vizuri unaona kuna manzi naye anatoka wanaenda kulana huko badae anarudi mmoja mmoja kimya kimya
 
Laana hizo
 
Back
Top Bottom