Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,576
- 3,094
Kwani wewe aliyekufa ameondoka na maamuzi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani siku hizi ukiacha matukio ya sherehe sehemu nyingine ya kung'oa mademu ni misibani wewe si unaona siku hizi mademu wanavyopendeza misibaniLaana hizo
Hivi unafikiri na baridi la kawetele mambo yatakuwa shwari?Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.[emoji22]kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue[emoji24]
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda
Wale wanakua kikazi zaidi..Yaani siku hizi ukiacha matukio ya sherehe sehemu nyingine ya kung'oa mademu ni misibani wewe si unaona siku hizi mademu wanavyopendeza misibani
naona unatuingilia faragaLakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😢kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda
yani ww na ngono 😂 au basiHahahha hii hali ya hewa hii acha watu tufanye tu. Tena kuna style moja inaitwa “masikitiko”.
Wanaenda kusaka mabwanaWale wanakua kikazi zaidi..
Ugaigai mwingi
Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.[emoji22]kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue[emoji24]
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda
Ahahah daah life hardWanaenda kusaka mabwana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]lazima mfe na ukame aisee