Halafu utashangaa taifa lipo kwenye msiba

Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😒kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭

Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.

RIP Makamanda
Uzi unakimbia fasta fasta..😊😊
 
Siku hizi kuna misiba basi misiba imekuwa sehemu za kutongozana na show off

Kama hizi mambo za kulala msibani utashangaa mwana anatoka ghafla haujakaa vizuri unaona kuna manzi naye anatoka wanaenda kulana huko badae anarudi mmoja mmoja kimya kimya
 
Laana hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…