yusuf57
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 322
- 665
Aliye kufa kafa, hyo ni safari yetu sote. Maisha lazma yaendelee akifa mtu anazaliwa mtuLakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.[emoji22]kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue[emoji24]
Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu.
RIP Makamanda