Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja jaluo na mwingine mzaramo akaitwa half cast?

Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja jaluo na mwingine mzaramo akaitwa half cast?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja Jaluo na mwingine Mzaramo akaitwa half cast?

Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini watoto wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
 
Wakati wa makuzi yangu hii kitu nilikuwa najua ni "Africast" 😅, moja kwa moja nikajua hapa lazima awe african na mchanganyiko wa race nyingine.
 
Huyo ataitwa Zero cast.
kama ni rangi kuchanganya jaluo ni mweusi tiii mzaramo sio mweusi sana kwa nini umwite zero cast wakati rangi itakayotoka siyo ile ile ?
 
kama ni rangi kuchanganya jaluo ni mweusi tiii mzaramo sio mweusi sana kwa nini umwite zero cast wakati rangi itakayotoka siyo ile ile ?
Ukiuza mkaa usiogope kuchafuka/muuza utumbo haogopi harufu.
 
Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja jaluo na mwingine mzaramo akaitwa half cast?

Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
unataka kusema Tulia ni half cast? maana MATAGA hamchelewi
 
Half caste ni mtu ambaye wazazi wake ni wa race mbili tofauti. So hapa tunatarajia brown na black, brown na white au black n white.

Haya swali kwako. Mjaluo na mzaramo ni race mbili tofauti?
 
Mchanganyiko unatakiwa uwe katika level ya races, African, Caucassian, Asian etc.
 
Yaani wahaya na wachaga mmeamua kuzaa muite mtoto half caste!!!![emoji16][emoji16][emoji16].hamna hiyoo.
 
Na
Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja Jaluo na mwingine Mzaramo akaitwa half cast?

Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini watoto wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
r
Mchina na mtu mweusi au mhindi au wahindi wekundu wa taitwaje quartercast? Wanyama wengine na si binadamu ndio wanaoitwa halfcast.BINADAMU TUNAMUITA COLOURED au hata hakuna jina ni mtu tu.
 
Back
Top Bottom