Ukiuza mkaa usiogope kuchafuka/muuza utumbo haogopi harufu.kama ni rangi kuchanganya jaluo ni mweusi tiii mzaramo sio mweusi sana kwa nini umwite zero cast wakati rangi itakayotoka siyo ile ile ?
unataka kusema Tulia ni half cast? maana MATAGA hamchelewiHalf cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja jaluo na mwingine mzaramo akaitwa half cast?
Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
Shombe shombe wa kijaluo na kizaramo πππVizungu vya nini we muite shombe shombe tu
rHalf cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja Jaluo na mwingine Mzaramo akaitwa half cast?
Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini watoto wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?