Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

View attachment 2968703
Nilikuwa nawajibika kuijaza nchi, mama Manka amelala sasa nimerudi jukwaani.
Wewe mbona wifi analala na mirasta bila kuvaa kofia ya kulalia?? Halafu mpe pesa ya saloon mirasta imechakaa hiyo 🤣🤣🤣
Hapo mba km zote!! Nahisi akiingiza kidole kujikuna anatoka na unga 😝

Haya weka picha yako sasa tuone
 
695724.png

Mimi huyo
 
Back
Top Bottom