Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

Ni yeye kweli huyu🤣🤣🤣
Mi nikipata wasiwasi lkn nikaangalia makucha, ni yeye. Nafkiri bob anafanyaga vile Ili auze mikorogo. Kila mwanamke anataka awe mweupe. Na hakuna kitu kina pesa kama mikorogo
 
Uyo sio Bob, Bob amekuza adi manyonyo, na sura yake sio iyo
Huyo ni yeye. Anapaka makeup za hali ya juu sana pamoja na picha zake LAZMA ziwekwe filter. Hao watu huskii wanamwita bibi? Halafu angalia kucha
 
Ila hawa mashoga hawa ***** zao.......

Siku moja nilikuwa napita zangu maeneo ya Kitambaa cheupe-Sinza naelekea kwenye harakati zangu,mara Kuna jamaa mtu wa makamo kidogo akaniita........akaanza kunipa story za maisha kuhusu wanawake hasa jinsi walivyo matapeli kwa wanaume na namna ambavyo hawatakiwi kuaminika

Nikamuona kama anavuka mipaka,akaanza kunigusa DUDU akijichekesha kuwa Dudu langu kubwa sana kwa mwanamke itakuwa Haifai nitafute Shoga liwe linanipa pesa,basi akaniomba namba ya simu nami nikampatia

Usiku akaanza kuniambia mara kuna kazi atanipa ili niache kuteseka (nilimdanganya mimi ni fundi garage) na kama nikikubali basi nitaishi kwa Raha sana,nikamwambia Sawa kaka niambie ni kazi gani? Jamaa akanambia kesho tukutane maeneo ya Small planet sinza,nikamwambia poa

Kesho yake nikajiandaa ili nikamsikilize hiyo kazi anayotaka kunipa ili kama Ina manufaa basi nitatoboa chapu,kufika jamaaa akaanza kunisifia na mbaya zaidi akanikumbatia,kichwani nikajua huyu dingi ni Shoga na anachotaka kwangu ni mambo ya kifirahuni tu na sio kingine,akaniambia niagize bia nikamwambia me Mlokole hivyo pombe kwangu hapana,akashangaa sana,akasema yeye Muislam na kwao ni Handeni

Basi,akaniambia ninaonekana ni mtu wa kazi ngumu sana hivyo kama itapendeza atanifungulia na kila kitu atakuwa anapatia ila tu nimkubalie ombi lake,nikamwambia Sema sasa ni ishu gani bro,jamaa akaniambia yeye ametokea kuniamini na anaomba iwe siri kwani ana heshima zake kwenye jamii,akasema yeye amenities nimtimizie haja zake kinyume na maumbile na kama pesa atanipa nisiwe na Shaka ila tu mpaka nimridhishe kisawa Sawa

Daah kiukweli nilimshangaa sana yule mbwa ila nikasema ngoja nimchezee mchezo........nikajifanya kukubali ila nikamuomba kama 150k ili nikalipe kodi mambo yangu yakae sawa,jamaa akanitumia kwa simu muda huo huo nikamuaga kwamba kesho yake tukutane ili tuanze kazi na yeye akakubali na kunisindikiza kwa kurembua macho kama mwanamke😭😭😭

Njiani akawa ananitumia mapicha yake ya utupu ila nikasema isiwe kesi huyu mbwa ni kum-block tu na ile laini nikatupa

Kesho yake nikaenda kanisani nikamuomba mungu msamaha kwa nilichofanya maana kuchukua pesa ya uchafu ni dhambi pia

My Take;Äta hawa vijana wenye movements zao hapa JF wengi wao ni mashoga kwahiyo msikurupuke kushabikia mada zisizo wahusu..........Mwanaume utaanzaje kujenga uadui na mwanamke? Kama sio mke mwenza huyo?

Mungu tusaidie wanao
 
Mwenye mada kaitoa huko na furaha akijua atakuja kupata sapoti kubwa kwamba huyo ni BOB watu walivyomkataa kaona isiwe shida ngoja niwaachie uzi.
ILA mwanaume kulala na sura kama hiyo lazima kuna nyaya ziwe zimekatika kichwani😂
Hahahahaha
 
Ila hawa mashoga hawa ***** zao.......

Siku moja nilikuwa napita zangu maeneo ya Kitambaa cheupe-Sinza naelekea kwenye harakati zangu,mara Kuna jamaa mtu wa makamo kidogo akaniita........akaanza kunipa story za maisha kuhusu wanawake hasa jinsi walivyo matapeli kwa wanaume na namna ambavyo hawatakiwi kuaminika

Nikamuona kama anavuka mipaka,akaanza kunigusa DUDU akijichekesha kuwa Dudu langu kubwa sana kwa mwanamke itakuwa Haifai nitafute Shoga liwe linanipa pesa,basi akaniomba namba ya simu nami nikampatia

Usiku akaanza kuniambia mara kuna kazi atanipa ili niache kuteseka (nilimdanganya mimi ni fundi garage) na kama nikikubali basi nitaishi kwa Raha sana,nikamwambia Sawa kaka niambie ni kazi gani? Jamaa akanambia kesho tukutane maeneo ya Small planet sinza,nikamwambia poa

Kesho yake nikajiandaa ili nikamsikilize hiyo kazi anayotaka kunipa ili kama Ina manufaa basi nitatoboa chapu,kufika jamaaa akaanza kunisifia na mbaya zaidi akanikumbatia,kichwani nikajua huyu dingi ni Shoga na anachotaka kwangu ni mambo ya kifirahuni tu na sio kingine,akaniambia niagize bia nikamwambia me Mlokole hivyo pombe kwangu hapana,akashangaa sana,akasema yeye Muislam na kwao ni Handeni

Basi,akaniambia ninaonekana ni mtu wa kazi ngumu sana hivyo kama itapendeza atanifungulia na kila kitu atakuwa anapatia ila tu nimkubalie ombi lake,nikamwambia Sema sasa ni ishu gani bro,jamaa akaniambia yeye ametokea kuniamini na anaomba iwe siri kwani ana heshima zake kwenye jamii,akasema yeye amenities nimtimizie haja zake kinyume na maumbile na kama pesa atanipa nisiwe na Shaka ila tu mpaka nimridhishe kisawa Sawa

Daah kiukweli nilimshangaa sana yule mbwa ila nikasema ngoja nimchezee mchezo........nikajifanya kukubali ila nikamuomba kama 150k ili nikalipe kodi mambo yangu yakae sawa,jamaa akanitumia kwa simu muda huo huo nikamuaga kwamba kesho yake tukutane ili tuanze kazi na yeye akakubali na kunisindikiza kwa kurembua macho kama mwanamke[emoji24][emoji24][emoji24]

Njiani akawa ananitumia mapicha yake ya utupu ila nikasema isiwe kesi huyu mbwa ni kum-block tu na ile laini nikatupa

Kesho yake nikaenda kanisani nikamuomba mungu msamaha kwa nilichofanya maana kuchukua pesa ya uchafu ni dhambi pia

My Take;Äta hawa vijana wenye movements zao hapa JF wengi wao ni mashoga kwahiyo msikurupuke kushabikia mada zisizo wahusu..........Mwanaume utaanzaje kujenga uadui na mwanamke? Kama sio mke mwenza huyo?

Mungu tusaidie wanao
Umskini wako huo, useme yule baba hukumpenda, wala usijitetete kumchezea mchezo wala nn, 150k uliichukua ya nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana wengi wa Bongo mnaingia mtegoni kwa gays shida ni umaskini na tamaa zenu. Woiiiiiih
 
Binadamu tunafurahia kuona wengine wamekumbwa na mateso na aibu. Kama huyo dada hapo kwenye video anafurahia nini?
 
Ila hawa mashoga hawa ***** zao.......

Siku moja nilikuwa napita zangu maeneo ya Kitambaa cheupe-Sinza naelekea kwenye harakati zangu,mara Kuna jamaa mtu wa makamo kidogo akaniita........akaanza kunipa story za maisha kuhusu wanawake hasa jinsi walivyo matapeli kwa wanaume na namna ambavyo hawatakiwi kuaminika

Nikamuona kama anavuka mipaka,akaanza kunigusa DUDU akijichekesha kuwa Dudu langu kubwa sana kwa mwanamke itakuwa Haifai nitafute Shoga liwe linanipa pesa,basi akaniomba namba ya simu nami nikampatia

Usiku akaanza kuniambia mara kuna kazi atanipa ili niache kuteseka (nilimdanganya mimi ni fundi garage) na kama nikikubali basi nitaishi kwa Raha sana,nikamwambia Sawa kaka niambie ni kazi gani? Jamaa akanambia kesho tukutane maeneo ya Small planet sinza,nikamwambia poa

Kesho yake nikajiandaa ili nikamsikilize hiyo kazi anayotaka kunipa ili kama Ina manufaa basi nitatoboa chapu,kufika jamaaa akaanza kunisifia na mbaya zaidi akanikumbatia,kichwani nikajua huyu dingi ni Shoga na anachotaka kwangu ni mambo ya kifirahuni tu na sio kingine,akaniambia niagize bia nikamwambia me Mlokole hivyo pombe kwangu hapana,akashangaa sana,akasema yeye Muislam na kwao ni Handeni

Basi,akaniambia ninaonekana ni mtu wa kazi ngumu sana hivyo kama itapendeza atanifungulia na kila kitu atakuwa anapatia ila tu nimkubalie ombi lake,nikamwambia Sema sasa ni ishu gani bro,jamaa akaniambia yeye ametokea kuniamini na anaomba iwe siri kwani ana heshima zake kwenye jamii,akasema yeye amenities nimtimizie haja zake kinyume na maumbile na kama pesa atanipa nisiwe na Shaka ila tu mpaka nimridhishe kisawa Sawa

Daah kiukweli nilimshangaa sana yule mbwa ila nikasema ngoja nimchezee mchezo........nikajifanya kukubali ila nikamuomba kama 150k ili nikalipe kodi mambo yangu yakae sawa,jamaa akanitumia kwa simu muda huo huo nikamuaga kwamba kesho yake tukutane ili tuanze kazi na yeye akakubali na kunisindikiza kwa kurembua macho kama mwanamke😭😭😭

Njiani akawa ananitumia mapicha yake ya utupu ila nikasema isiwe kesi huyu mbwa ni kum-block tu na ile laini nikatupa

Kesho yake nikaenda kanisani nikamuomba mungu msamaha kwa nilichofanya maana kuchukua pesa ya uchafu ni dhambi pia

My Take;Äta hawa vijana wenye movements zao hapa JF wengi wao ni mashoga kwahiyo msikurupuke kushabikia mada zisizo wahusu..........Mwanaume utaanzaje kujenga uadui na mwanamke? Kama sio mke mwenza huyo?

Mungu tusaidie wanao

Kupenda mseleleko ipo siku utabozogolewa
 
Huyo sio bob 😂😂😂

Nimegundua watu ni psychopaths kweli kweli!!! Sasa hapo kinachokufurahisha ni nini kuona mtu anapoteseka? Hata kama sio bob, kinachokufurahisha ni nini?

Hii nchi kianzishwe kitengo cha ugonjwa wa akili, vijana wana hasira balaa.
Mm napinga ushoga ,lakini niko kinyume na kutesa mashoga tuchukulie kama kumchukia kichaa
 
Back
Top Bottom