Hali anayoipitia Mange kimambi kwasasa iwe funzo damu za watu zinamlilia tuache dhambi dhambi inaua.

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.

tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuwadhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI 🙏🏼

TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.

tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.

No logic at all , pure fallacy
 
Yaani Polisi wauwe watu halafu mnasingizia Mange hivi leo tukienda Mbinguni nani atapata adhabu mdai haki au muuaji
 
"Hali anayopitia mange iwe funzo" dogo amka ukalime Pumbavu
20260423_220609.jpg
 
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.

tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI 🙏🏼

TUFANYE KAZI KWA BIDII
Lazima utakuwa mwehu wewe au ni buku saba tuu, hata mimi naweza kukulipa zaidi ukiacha huu upumbavu
 
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.

tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI 🙏🏼

TUFANYE KAZI KWA BIDII
Hivi mtu mzima mwenye familia anashairiwa na kushawishiwa aandamane?
Haya ni madharau kwa wananchi?
Ina maana hali ya maisha hawaioni hadi washawishiwe?
Haki?
Watu kutekwa na kupotea?
Wizi wa kura?

Mwacheni dada aa taifa la atulie zake
 
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.

tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI 🙏🏼

TUFANYE KAZI KWA BIDII
Bado nawalaumu moderator kwanini hakuna meme ya kidole cha kati jf?
 
Back
Top Bottom