Maandamano hayakusababishwa na Mange bali na vitendo viovu vya watawala kama hamtabadilika Maandamano yajayo wananchi wanaweza kupindua serikali kabisa mpka mkimbilie nje ya nchi.Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.
tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuwadhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI 🙏🏼
TUFANYE KAZI KWA BIDII
Mkuu, mbona ipo,Bado nawalaumu moderator kwanini hakuna meme ya kidole cha kati jf?
🖕Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.