instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Waulize chademaAnaumwa nini mkuu
No logic at all , pure fallacyMange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.
tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI ππΌ
TUFANYE KAZI KWA BIDII
Anaumwa niniMange anachofanya ni ku expose makosa ya watawala kama kuteka, ufisadi, kuiba kura nk nk
Yeye hajawatuma wao kufanya upumbavu huo so hana makosa usimsingizie!.
Mange ndio alitoa oda ya shoot to kill?!.
Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.
tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI ππΌ
TUFANYE KAZI KWA BIDII
Lazima utakuwa mwehu wewe au ni buku saba tuu, hata mimi naweza kukulipa zaidi ukiacha huu upumbavuMange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.
tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI ππΌ
TUFANYE KAZI KWA BIDII
Hivi mtu mzima mwenye familia anashairiwa na kushawishiwa aandamane?Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.
tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuudhalilisha wenzetu.
Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA aliyekosa ipo siku atapata, tuache chuki dhidi ya wenye nacho kwani wanapewa na Mungu.... AMENI ππΌ
TUFANYE KAZI KWA BIDII
πππGoli la Samuya
View attachment 3578300
Bado nawalaumu moderator kwanini hakuna meme ya kidole cha kati jf?Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia.