Hali anayoipitia Mange kimambi kwasasa iwe funzo damu za watu zinamlilia tuache dhambi dhambi inaua.

Maandamano hayakusababishwa na Mange bali na vitendo viovu vya watawala kama hamtabadilika Maandamano yajayo wananchi wanaweza kupindua serikali kabisa mpka mkimbilie nje ya nchi.
 
Bado nawalaumu moderator kwanini hakuna meme ya kidole cha kati jf?
Mkuu, mbona ipo,
Kama hapo chini?
πŸ–•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…