Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

Huree CHADEMA!!!!!!!
Wapi Malaria Sugu?
Umeona hayooo?

Wala sijamsikia popote humu ndani, nahisi atakua amemeza quenini amelala, manake lazima malaria iongozeke usugu wake (sugu*10)
 
Halima mdee wa CHADEMA ameshinda KAWE kwa mbali sana matokeo rasmi punde, matokeo ya udiwani yamechakachuliwa maana CHADEMA walikuwa wanaongoza vituo 90 kati ya 27 ila ndio hivyo tena diwani kata ya Kawe kashinda wa CCM

Huwa inafurahisha sana kuona mwanamke amepambana na kushinda. Wengi wamekuwa wakitegemea kura za ubunge maalumu. This is so great new, Big up sis Halima!!:glasses-nerdy:
 
well done lima am so happy for. zanaki old days
 
sasa jamani ile mimba ya dk.batilda buriani aliyopewa na rostam ataipeleka wapi?:hippie:
 
WanaJF twende Loyola kutafuta haki kule naona wameamua kutusubiri tutoe Tamko. Baada ya apo twende kawe,mbeya mjini na kwingneko tufanye kazi ya Mungu!
 
umeambiwa halima mdee
Umeambiwa na nani? where is the source and realistic of these posts. Kahama jana tulikuwa na figure za ushindi kwa ubunge Chadema but leo from no where Lembeli ameshinda watu wanataka kuuana what a***k is this? Please tupeni confermed/announced figure maana sisi wengine we can't wait, we real need that lady back into the parliament as an elected MP not as appointed MP.

Sorce Please! :A S-frusty2:
 
CCM na serikali yake wamezoea dhuluma, najiuliza hata hizo kura wanazitoa wapi?? kwa watu wasiofikiria hata kidogo kama tume na viongozi wake.Siamini kama kuna mtu m,wenye akili anaweza kuitetea CCM, labda January na wenziwe...
 
Halima mdee wa CHADEMA ameshinda KAWE kwa mbali sana matokeo rasmi punde, matokeo ya udiwani yamechakachuliwa maana CHADEMA walikuwa wanaongoza vituo 90 kati ya 27 ila ndio hivyo tena diwani kata ya Kawe kashinda wa CCM


Oooooooh BOLD AND BEAUTIFUL, !!!GO HALIMA GO!!!!! GO AND BRING LIBERATION FOR TANZANIA!!!!!!
 
ChademaTz Jimbo la Mbeya Mjini - UBUNGE: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) 46,411 Benson Mpesya (CCM) 24,327. Nguvu ya Umma Imeongea. #Uchaguzi #Tanzania
 
wanadelay kutangaza, lakini watatangaza tu!!!
 
Back
Top Bottom