Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Namshuru mungu nimemaliza kupiga kura, cjawahi pata msukumo wakupiga kura kiasi hiki, safari hii watu wamehamasika sana kwa kweli, naimekua tofauti na miaka mingine watu hawafichi mtu yuko huru kumtaja anae mpigia kura, hapa kituoni kwetu ukiona line imejaa vijana unajua wanampigia nani. Kweli inatia moyo sana.
ewaaaa.......hakikisha unabaki katika hali ya usalama mpaka matokeo yatoke ili uweze kushangilia ushindi kwa amani