Elections 2010 Hali halisi vituoni siku ya kupiga kura

Elections 2010 Hali halisi vituoni siku ya kupiga kura

Namshuru mungu nimemaliza kupiga kura, cjawahi pata msukumo wakupiga kura kiasi hiki, safari hii watu wamehamasika sana kwa kweli, naimekua tofauti na miaka mingine watu hawafichi mtu yuko huru kumtaja anae mpigia kura, hapa kituoni kwetu ukiona line imejaa vijana unajua wanampigia nani. Kweli inatia moyo sana.

ewaaaa.......hakikisha unabaki katika hali ya usalama mpaka matokeo yatoke ili uweze kushangilia ushindi kwa amani
 
Kuna tetesi kua ukipiga kura kwa mpinzani yeyote,ukikunja karatasi ikigusana na sehemu nyingine inafutika.Hizi ni tetesi na jamaa mmoja ktk kituo nilichupigia kura yangu ya mabadiliko amenionesha message aliyotumiwa.Naomba vyama na wanaharakati wafuatilie jambo hili na kupata ukweli kamili.Kwa sababu tutashangaa watu wengi wanapiga kura ya mabadiliko lakini upinzani haushindi..Inasikitisha ila tunaomba wataalamu watupe utafiti wao
 
Kuna jamaa mgombea udiwani kupitia CCM hapa Sinza alitaka kujipenyesha aingie kwenye kituo kwa 'wadhifa ' wake watu wamemkomalia likatokea zongo polisi wakamtuliza nitawapandishia video clip mara tu nitakapomaliza kupiga kura na kurudi home
 
Jamani mbona hamtupi updates za toka huko?? sie wa DAR ndo tumejitahidi kuwahabarisha, jitahidini jamani, tunataka taarifa, kwa DAR naona ni kimya sana, nimepita sinza uzuri, tabata, na sasa nipo mlimani, kumetulia, sasa ndo naingia chumba namba 2 kituo cha UTAWALA- MLIMANI tayari kwa kumpa kura RAIS wa ukweli, nimefurahi pia kusikia wana JF wakikumbushana kuhakikisha wanaandika vyema, hii nimejua kua ni wao kutokana na thread moja waliyokua wanaijadili ambayo ilikua hapa kitaani! VIVA SLAA
 
kwa upande wa Arusha mambo yako shwari mpaka sasa...watu ni 😛eace: kwa sana.
 
... namba 2 kituo cha UTAWALA- MLIMANI tayari kwa kumpa kura RAIS wa ukweli, nimefurahi pia kusikia wana JF wakikumbushana kuhakikisha wanaandika vyema, hii nimejua kua ni wao kutokana na thread moja waliyokua wanaijadili ambayo ilikua hapa kitaani! VIVA SLAA
Aisee, kumbe wana JF tunapishana bila kujuana! Mimi nimepiga tayari hapo Utawala namba 4
 
Ahsante Elli kwa kura ya busara kabisa...thread kama hizi kuna sehemu ya matukio angalia vizuri utaona. Nafikiri mod atahamisha.
 
Nimeshapiga kura. Naangalia tv watu wanavyopiga kura. Watu walio kwenye foleni ya kupiga kura wanaonekana wana uchungu na hasira. Sijaelewa tatizo. Au ndio wanaenda kumsulubu JK!!! Kweli kazi ipo. Kumbe watu ukiwaangalia usoni tu utajua wanapigia chama gani. Kwa hali hii JK ajiandae kukabidhi tu, na akiangalia tv ndio presha itapanda. Maana watu wana hasira utadhani wanaenda ulingoni
 
Tayari, nimetoka!!! asante watu wa arusha, vipi moshi mbeya mbona kimya? hata nyie shinyanga jamani
 
uko sahihi kabisa....ukiangalia TV unatambua kabisa huyu ni wa chama gani....kwa mtizamo wangu wale wengine wapo wachache sana
 
The Dreamer, wajumbe wameenda wapi, mbona leo kijiwe kimepooza hivyo? au mida bado
 
kwa hili tuwapongeze tume... so far, ni shwari sana... hapa mbuyuni primary school swafi kabisa... amani na utulivu kwa wingi sana

nadumbukiza hukumu yangu veri suun
 
tatizo mawakala ninaowaona vituoni noma tupu.Sina imani kama ni wateule wa chama chetu jamani.Isijekuwa tume imezunguka ikaweka mamluki wao ili wizi ufanikiwe
 
Nimefurahi sana, yaani huwezi amini nimekutana na mAMA hapa karibu na kituo cha afya, kanisimamisha na kunieleza tena kuhusu ile thread kuwa ni lazima u-stress baada ya kuandika ili isihamia kwa JK, nimeshangaa sana yaani mtu hanifahamu wala simfahamu ila kwa mapenzi yake kwa SLAA! NAINGIA IBADANI KWANZA
 
By this time tomorrow, habari zitakuwa zingine kabisa! Ni VILIO everywhere! Kwi kwi kwi!!!!!! :smile-big:
 
Jamani hata mimi nimewaona!!! mbona kamavile ndo wale greeguard wa CCM???? they are not serious at all, mmoja kazi yake kuongea na simu, mwingine anasoma gazeti, sasa hawa si wanatuchezea kweli??
 
CCM BADO WANAPIGA KAMPENI TABORA!MWANZA VITUO HEWA VINGI WANANCHI WAWAFUKUZA WASIMAMIZI.MWANZA HAWAJAPIGA KURA.source ch10
 
Back
Top Bottom