Namshuru mungu nimemaliza kupiga kura, cjawahi pata msukumo wakupiga kura kiasi hiki, safari hii watu wamehamasika sana kwa kweli, naimekua tofauti na miaka mingine watu hawafichi mtu yuko huru kumtaja anae mpigia kura, hapa kituoni kwetu ukiona line imejaa vijana unajua wanampigia nani. Kweli inatia moyo sana.
Aisee, kumbe wana JF tunapishana bila kujuana! Mimi nimepiga tayari hapo Utawala namba 4... namba 2 kituo cha UTAWALA- MLIMANI tayari kwa kumpa kura RAIS wa ukweli, nimefurahi pia kusikia wana JF wakikumbushana kuhakikisha wanaandika vyema, hii nimejua kua ni wao kutokana na thread moja waliyokua wanaijadili ambayo ilikua hapa kitaani! VIVA SLAA