Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Punguzeni kuzaa,resources za nchi sio ardhi peke yake.overpopulation ndio sababu ya vita nyingine duniani.Nature will always find a way to balance itself out.to many people are fighting for very little that's left
Sio kwa ulafi wa viongozi wa Africa wanaojilimbikizia mimali ambayo mwisho wa siku wanakuja kudhulumiwa tu na Wadhungu ??!! Sometimes muwe wakweli ! Selfishness katika Afrika ndio tatizo kuu linaloleta vita za wenyewe kwa wenyewe na umasikini wa kutupa !! Wala sio overpopulations !! Ukweli humfanya mtu kuwa huru !!
 
You nailed it ! Mi nimeshindwa kuiangalia hiyo video ! Please hii video ifutwe !!
 
Fimbo na mawe yametoka ulaya? tuwe wakweli Sisi ni makatili.
Matatizo yetu hatutafuti majibu ni kusukumia wengine
 
....nina wasiwasi ina kirusi pia. Mada matusi, maudhui matusi, video haina chanzo cha kuaminika. na bado watu wanatukanana.
Imewekwa kwa lengo maalum ili kuwaogopesha watu !! Wenye kuiweka they know the reason !!
 
Fikira duni kama hizi ndiyo zinaifanya Afrika na wanaotoa maneno kama haya kuwa duni, maana wao hata kama ni kwa uvivu wao wakakosa chakula au hata wakajikwaa, sababu inakuwa ni wazungu.
Sawasawa..
 
WALE VIHEREHERE WANAOTETEA MATAIFA YA MAGHARIBI MBONA HAWATETEI NDUGU ZETU WA KARIBU HAWA
UTASIKIA MPUMBAVU MMOJA MI NA NIKO NA PUTIN MARA MI NIKO NA UKRAINE.
 
Fimbo na mawe yametoka ulaya? tuwe wakweli Sisi ni makatili.
Matatizo yetu hatutafuti majibu ni kusukumia wengine
Ndio, Fimbo zimetoka kwa wakoloni.Afrika hatukuwa tunachapana fimbo. Fanya utafiti wako vizuri ujiridhie. Kuna utafiti umefanywa na Muingereza kuhusu canning na sio wa mufa mrefu, tafuta vizuri utaupata. Hayo ya kupigwa mawe nayo ni matokeo ya waarabu. Jaribuni muwe mnafanya utafiti badala ya kukubali maneno yanayotupwa tu na mnakariri.

Jamiiforums nayo, kwa mtindo huu itakuwa kama buzzed. dot kom.
Kuna mods hatari sana humu JF. Ipo siku.
 
Wewe ni mpumbavu wa Karne. Huna akili hata moja .
Ina maana hujamwelewa mtoa mada?
Ni kizazi ambacho kilizaliwa kwa njia isiyo sahihi. So hawezi akaelewa huyo kuna mauchafu yalichanganyika na ubongo wake wakati wake....
 
Wote hao ni waislam na wamefunga ramadhani
 
Fakamilo njoo hapa room uje umevaa dela kurahisisha. Kuna njemba zinakusubiria ili uwe fakamilozed.
 
Ni UPUMBAVU WENU WAAFRIKA. HAMNA AKILI NA NI MANYANI. KWANI NIKIJA KUKUPA WEWE KISU NA MDOGO WAKO KISU KISHA NIKAWAAMBIA GOMBANENI MTAANZA KUGOMBANA? MTAKUWA WAPUMBAVU SANA. MANYANI HAMNA AKILI.
 
Punguzeni kuzaa,resources za nchi sio ardhi peke yake.overpopulation ndio sababu ya vita nyingine duniani.Nature will always find a way to balance itself out.to many people are fighting for very little that's left
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] india, china, Nigeria kungekua na vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…