Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Fakamilo njoo hapa room uje umevaa dela kurahisisha. Kuna njemba zinakusubiria ili uwe fakamilozed.
Kwa hili jibu lako tu basi inatosha, nmeshaitambua jinsia yako. Sina haja ya kukuelewesha wala kukulaum kwa lolote, maana tayari huna uwezo wa kuwa sawa tena.

Endelea kupigania haki zenu ila acha kupotosha umma kwa kupakaza sum uafrika. We are better than before, na tuko imara haswa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine ni bora mkawa neutral. Badala ya kulaani ngozi nyeusi tulaani ubinadamu. Je, na hawa ni waafrika weusi? Onyo kama huna kifua usiifungue, maana hutalala usiku
Your browser is not able to display this video.
 
Hamwezi kuwa imara wakati nuts zimelegea. Uimara mtatoa wapi?
 
Mkuu hujaona mkono wa Wagner(Mrusi) Vs majeshi ya serikali?
Mrusi na Marekani wanachochea vita hii!
Ila sisis waafrka ndio wajinga wakubwa kuwakubalia kututumia kupigana vita kwa ajili yao.
 
Kama kuna mtu hakumuelewa mleta mada, akaja na hapa kwako hajakuelewa.

Itoshe kumuita mtu huyo ni mwendawazimu.
 
Ubaguzi ni mbaya sana hawa wasudani walianza baguana wao kwa wao wakaigawanya nchi imegawanyika hawa wa sudani ya juu wanaanza kuuwana tena wao kwa wao...
 
Itoshe kuitwa mjinga sababu una upeo mdogo wa akili.
 
Duuh Hawa waliovaa uniform ni waasi au wanajeshi wa serikali?
 
Akili kisoda. Pole
 
Duuuu hatari aisee
 
Ni vyema kutafuta kweli ushahidi usio na mashaka.
Kama ulikula hujui jeshi la milambo liliitwa Walugaluga .ulizia wanyamwezi nini maana yake kifungo hicho
Jina Hilo waliitwa baada ya kuwauwa maadui wao na kukata viungo vyao ....... Na kuvichomeka kwenye mikuki .
Ujue aliopigana Nao ni wanyamwezi wenzake na wasukuma.
Kanda ya ziwa ilikua desturi waliohisiwa ni washilikina walipelekwa polini na kupigwa na mchi wa kutwangia kichwani.
Kupigwa fimbo ni desturi ya jamii za wsfugaji na walitumia kama silaha ya mapambano.
Unawajua sungusungu jinsi wslivyo Fanya miaka ya 1983/85 Nao wslifundishwa na wazungu?
Soma kitabu cha chinua Achebe.
Unyama ulivyo kua ukifanyika kabla ya wazungu hawajaja.
Si kwamba wazungu au waarabu walifanya yote mabaya na mazuri yamo tena yanaonekana mpaka Leo .
Waarabu ndio walioanzisha miji mingi ambayo ipo mpaka Leo .
Wazungu walioanzisha tawala kama Tanganyika na kuleta Sheria ukitenda kosa unashitakiwa na kuhukumiwa kifungo.
Hayo ulio ona kwenye video hiyo fupi ndivyo tulivyokua tukiishi kugombea itawala Kwa gharama za roho za watu kabla ya wazungu hawajaja
 
Sema tu umeamua kufunga akili yako kwa waafrika,hivi hujawahi kuona/sikia matukio ya kinyama kutoka kwa wazungu/waarabu na race zinginezo.
Hata Israel hapo hujasikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…