Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Hao watakuwa niwasenge wachache wanao fanya inchi isiturie so bure
 
Fakamilo... Hata kiswahili kinakushinda kuelewa. Nyie huko mnafundishwaje?
 
Sasa mtoa mada ndio umeandika nini?,unatoa Uzi bila ufafanuzi.

Kwanza mgogoro upo ni Sudan na sio South Sudan.Waarabu was Sudan ndio wanachapana wao kwa wao.sasa hapo watu weusi wanaingiaje?
 
kwamba waafrika hawana akili kujua wanapiganishwa ?
Ndo maana yake kuwa miafrika haina akili. Nimemuuliza nikienda nikampa yeye kisu na mdogo wake kisu nikawaambia wapigane watapigana? Hajanijibu mpaka sasa.
 
una akili nying sana big up mkuu , wajinga humu na mtaani ni wengi , afrika hatuna vipaombele ndio maana hatupig hatua
 
Afrika siyo wanyama wala wakatili kama unavyodhani hiko kilichotokea hapo kinatokea hata kwa wasiyo waafrika.

Ninachoona mtoa mada unautetea ushoga kwa video isiyo na maalezo ya chanzo.. inawezekana hao watu ni magaidi labda hayo magaidi waliua watu wasiyo na hatia.
 
binafs huwa nawadharau watu kama ww , ni kama unawatukana waafrika hatuna akili kuwa wanafanya bila kujua wanaua ma kuua ni dhambi , si ndio ? hao wanauana kwa matatizo yao wala msipende kuwasingizia wazunh kweny kila kity
 
kwamba hujaona video za Tz ? badala ya kudili na mamb ya nje fuatilia , hapa tz yanatokea hayo sema camera haijafika mahala husika
 
Mkuu mtoa mada, hivi sudan kuna kiwanda cha ak47, hivi sudani kuna kiwanda cha magari ya vita, hivi sudan kuna kiwanda cha mizinga. Na hawa waasi ushajiuliza wanapata wapi hivi vyote, and wanapata wapi mishahara ya kulipa wanajeshi wao,
Hebu jiulize haya maswali rahisi sana then rudi tua zie hapo kujadili
 
Hii video inahusika vipi na ushoga? Maana nimeona ushoga umetajwa mara nyingi sana. Au mtoa mada unapigania haki zenu?
tuliza akili uelew katoa mf tu wa hayo yanayotokea hlf unakuta nguv kubwa ipo kweny ushoga wakat kuna mambo muhimu ya kuweka sawa ila tumeyapa kisogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…