Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.

Hao watakuwa niwasenge wachache wanao fanya inchi isiturie so bure
 
Ni muathirika wa fikra huyo, na mbaya zaidi tayari hayuko sawa.
Kama physically weak, inawezekana vipi mentally awe Strong?

Huyo ni mpigania haki zao, na wamo wengi kwny huu uzi wao. Chunguza vzr uchangiaji wao ndipo utakapogundua ni wa aina gani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Fakamilo... Hata kiswahili kinakushinda kuelewa. Nyie huko mnafundishwaje?
 
Sasa mtoa mada ndio umeandika nini?,unatoa Uzi bila ufafanuzi.

Kwanza mgogoro upo ni Sudan na sio South Sudan.Waarabu was Sudan ndio wanachapana wao kwa wao.sasa hapo watu weusi wanaingiaje?
 
kwamba waafrika hawana akili kujua wanapiganishwa ?
Ndo maana yake kuwa miafrika haina akili. Nimemuuliza nikienda nikampa yeye kisu na mdogo wake kisu nikawaambia wapigane watapigana? Hajanijibu mpaka sasa.
 
Afrika inadumaa kwa sababu hatujitambui. Hatujui hata priorities. Vitu vidogo vya kijinga tunavipa umuhimu mkubwa, matatizo makubwa tunayapuuza.

Tatizo kubwa la kwanza na msingi la Afrika ni mifumo mibaya ya kiutawala. Mifumo mibaya ya kiutawala imesababisha umaskini usioisha, vita vya wenyewe kwa wenyewe kugombania kidogo kinachozalishwa, matatizo makubwa ya ajira, uwekezaji mdogo, na uwepo wa viongozi matapeli na wevi wakubwa wa mali za umma.

Lakini kwa uduni wa akili tunageuza kama vile ushoga ndiyo tatizo kubwa la Afrika wakati hakuna anayelazimishwa kuwa shoga. Katika maisha yangu yote ya kuzunguka Tanzania, ni mara mbili tu nilioneshwa vijana wawili, kama miaka 10 iliyopita, nikaambiwa hao ni mashoga. Walikuwa wamejipodoa, wamekata nyusi, ukiwaona huelewi kama ni wanaume au wanawake. Nikauliza kama walikuwa wasanii, ndipo nikaambiwa kuwa ni mashoga. Hao niliowaona mie ni wawili, lakini hakuna siku ambayo itaisha usikutane na Watanzania maskini kabisa ambao hawajui leo jioni au kesho watakula nini.

Kwanza, kama kweli kuna watu wanaupigia promotion ushoga, kwa watu walio maskini kabisa, ni rahisi kushawishika na kukubali kama jambo hilo litampa kipato kizuri na cha uhakika. Siku hizi tunaambiwa kuwa wapo mpaka vijana watanashati kabisa waliokubali kuwekwa kinyumba na baadhi ya akina mama wenye kipato. Na kichocheo cha hayo ni umaskini, na mtindo wa baadhi ya vijana kupenda maisha mtelemko.

Twende kwenye mambo makubwa na ya msingi, ingawa hatutakiwi kuyapuuza mambo madogo kama ushoga, pia.

Unashangaa spika anakataa kujadili ubadhirifu wa pesa ya umma, wenye athari kwa Watanzania wote, halafu anakubali kujadili ushoga ambao unawaathiri watu wachache. Kwa nini mambo madogo tuyape uzito mkubwa lakini makubwa, kwa sababu yanawahusu au yanawagusa ndugu na marafiki zao, yanapigwa teke?
una akili nying sana big up mkuu , wajinga humu na mtaani ni wengi , afrika hatuna vipaombele ndio maana hatupig hatua
 
Afrika siyo wanyama wala wakatili kama unavyodhani hiko kilichotokea hapo kinatokea hata kwa wasiyo waafrika.

Ninachoona mtoa mada unautetea ushoga kwa video isiyo na maalezo ya chanzo.. inawezekana hao watu ni magaidi labda hayo magaidi waliua watu wasiyo na hatia.
 
hapa huwezi kumwona mzungu kwa kuwa yeye yuko nyuma ya mwanvuli.anagawa silaha ili waafrika wauane na yeye yuko busy kuchukua madini.ninachokubaliana na wewe kwa nini sisi waafrika tukubali kutumiwa na wazungu kwa maslahi yao?Pengine pia sisi waafrika tukishika dola huwa tunabagua baadhi ya makabila au koo hivyo kupelekea makabila hayo kukata tamaa na kuamua kuingia msituni.kuna sababu kadha kwa kadha.kwa kweli sisi waafrika ni wanyama kama simba na wanyama wengine na hatuna ustaarabu.
binafs huwa nawadharau watu kama ww , ni kama unawatukana waafrika hatuna akili kuwa wanafanya bila kujua wanaua ma kuua ni dhambi , si ndio ? hao wanauana kwa matatizo yao wala msipende kuwasingizia wazunh kweny kila kity
 
Wanavuna walichopanda,ukumbuke maisha yao wa Sudan mara kwa mara yamekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miongo kadhaa,kwahiyo kuna vizazi vimepita vingi vikibeba hiyo hali ya ukatili wa aina hiyo,huwezi kukuta wala haitakuja kutokea nchi kama Tanzania ikaingia huku,kwakuwa maisha yetu yametawaliwa na amani sana,na hakuna anayeweza kuthubutu kuiacha ikapotea,sisi kwenye kulonga kwa midomo ndio mafundi...
kwamba hujaona video za Tz ? badala ya kudili na mamb ya nje fuatilia , hapa tz yanatokea hayo sema camera haijafika mahala husika
 
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.

Mkuu mtoa mada, hivi sudan kuna kiwanda cha ak47, hivi sudani kuna kiwanda cha magari ya vita, hivi sudan kuna kiwanda cha mizinga. Na hawa waasi ushajiuliza wanapata wapi hivi vyote, and wanapata wapi mishahara ya kulipa wanajeshi wao,
Hebu jiulize haya maswali rahisi sana then rudi tua zie hapo kujadili
 
Hii video inahusika vipi na ushoga? Maana nimeona ushoga umetajwa mara nyingi sana. Au mtoa mada unapigania haki zenu?
tuliza akili uelew katoa mf tu wa hayo yanayotokea hlf unakuta nguv kubwa ipo kweny ushoga wakat kuna mambo muhimu ya kuweka sawa ila tumeyapa kisogo
 
Back
Top Bottom