Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

Nyoosha vizuri maelezo, sio unakaa nusunusu.

1. Unatetea haki za ushoga? au
2. Unapinga ushoga?

Nijibu kama yalivyonyooka hapo, sema kwa kujiamini ili ujulikane vzr kama unapinga niambie "Unapinga ushoga" na kama unatetea niambie "Unatetea haki za ushoga"

Bado kidogo nifikie kwenye hitimisho la kuutambua uwezo wako wa Mapokeo. Kwahiyo naomba unijibu kwa umakini ili tuendelee vzr.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
hv huelew nini SITETEI USHOGA wala SIWAPING MAANA SIJAWAI ATHIRIKA NA TABIA ZAO SIJAWAI ONA WANAFANYIAVMAMBO YAO HADHARANI SO USIRI WAO NI JUU YAO NAZUNGUMZIA HAYA YANAYAONEKANA YANATEREKEZWA KWA KUTUMIA JINA USHOGA , yaan napinga serikali kutelekeza mambo mengine ya msingi yaliyokuwa kweny sera zao na kuhamia kweny mambo yalikwepo na yapo na hutoweza yamaliza , wazaz wanazaa barabarani hatuez unda sheria kuwadhibiti wabadhirif wa 41B ambazo huenda zingeboresha huduma ya afya pia usalama ni mdogo sana panyaroad wanavamia na kufunga mtaa huku wakiacha majeruhi na maiti mtaani ila hatuon bunge kutenga muda kuzungumzia kipi kimetufikisha hapa pia swala la rushwa limekubuu mpk trafiki wote mjin dar wameweka utaratibu wa kukusanya buku 2 kila njia bado tupo kimya tunahangaika na ushoga unaofanyoka chumban , AFRIKA LAZIMA MJUE MNATAKA NINI KA SIVYO UMASKIN UTATUUA SABABU KILA MUDA TUNATOKA NJE YA NJIA KWA MAMBO YA MUDA TU
 
Hujatumia lugha ngumu mkuu...bali unajitoa kwenye hatia, mfano wewe ndio ungekua mtoa silaha ungeulizwa lengo lako kuwapa watu silaha za hatari kiasi hcho ni kwaajili ya kuchinjia ng'ombe au ni kuwindia ngedere? Ni sawa uulize kwanini simu yangu naitumia kwa mawasiliano km hivi...unashindwa kujua silaha zimeundwa kwa madhumuni gan mkuu, kweli...upo siriazi kweli wewe..au .............................??
hao sio watu hao ni wanajeshi waliopewa dhamana ya kulinda nchi yao ya Sudan , je wanafanya hivyo ? je tumlaumu nan ? aliyepewa dhamana au aliye fanya biashara ya silaha na mliempa dhamana?
 
hv huelew nini SITETEI USHOGA wala SIWAPING MAANA SIJAWAI ATHIRIKA NA TABIA ZAO SIJAWAI ONA WANAFANYIAVMAMBO YAO HADHARANI SO USIRI WAO NI JUU YAO NAZUNGUMZIA HAYA YANAYAONEKANA YANATEREKEZWA KWA KUTUMIA JINA USHOGA , yaan napinga serikali kutelekeza mambo mengine ya msingi yaliyokuwa kweny sera zao na kuhamia kweny mambo yalikwepo na yapo na hutoweza yamaliza , wazaz wanazaa barabarani hatuez unda sheria kuwadhibiti wabadhirif wa 41B ambazo huenda zingeboresha huduma ya afya pia usalama ni mdogo sana panyaroad wanavamia na kufunga mtaa huku wakiacha majeruhi na maiti mtaani ila hatuon bunge kutenga muda kuzungumzia kipi kimetufikisha hapa pia swala la rushwa limekubuu mpk trafiki wote mjin dar wameweka utaratibu wa kukusanya buku 2 kila njia bado tupo kimya tunahangaika na ushoga unaofanyoka chumban , AFRIKA LAZIMA MJUE MNATAKA NINI KA SIVYO UMASKIN UTATUUA SABABU KILA MUDA TUNATOKA NJE YA NJIA KWA MAMBO YA MUDA TU
Nimeshakuelewa tayari na nimeshakamilisha analysis zangu juu ya uwezo wako wa mapokeo.

Nmegundua hata nikikuelewesha namna gani, bado hautonielewa. Ww ni muathirika pia, no matter what huwezi recover.
Na wala huwezi kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri.

Ww endelea kupigania haki yako, sina story naww tena.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Google "Proxy war"
Fikira duni kama hizi ndiyo zinaifanya Afrika na wanaotoa maneno kama haya kuwa duni, maana wao hata kama ni kwa uvivu wao wakakosa chakula au hata wakajikwaa, sababu inakuwa ni wazungu.
 
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila hawa wanaoua hivi raia kesho utawasikia wanakwambia ushoga ni ushetani (kitu ambacho nakubaliana nao) ila hiki wanachofanya hapa kinaonekana ni kitu cha kawaida.

Hii ni Sudan. Bado lawama utasikia zinaenda kwa wazungu. Ni upumbavu. Hapa nimeangalia kwenye video sijaona mzungu hata mmoja akiua raia hawa kikatili namna hii.

Miafrika ni mijitu ya ajabu sana. Bado ina unyani mpaka leo. Huwezi mfanyia hivi binadamu mwenzio ukiwa nawe ni binadamu. Ni ngumu sana.

Waarabu weusi hao
 
Nimeshakuelewa tayari na nimeshakamilisha analysis zangu juu ya uwezo wako wa mapokeo.

Nmegundua hata nikikuelewesha namna gani, bado hautonielewa. Ww ni muathirika pia, no matter what huwezi recover.
Na wala huwezi kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri.

Ww endelea kupigania haki yako, sina story naww tena.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
kwa akili zako ipo siku utaua hadi albino huku ukisahau yapo mambo muhimu kuliko kuua albino , hao mashoga wanapunguza nini kweny huduma za kiafya au usalama wa taifa lako au uchumi wa nchi yako ? je wanaoibia nchi matrillion na hao mashoga wapi wa kuwapiga vita ?
Afrika tunakosa vipaumbele kweny maisha yetu ndio maana tunalia umaskin , civil wars na magonjwa ya ajabu huku tumesinzia tunapambana na vitu havina maana kabisa
 
... Upo Sahihi Waafrika inabidi Tujitathmini upya ila vita vilikuwepo toka enzi na enzi za mababu na hata Taifa la Israel lilipigana Vita na Mungu alililinda, usifananishe huo upuuzi wa kurudiana wanaume kwa wanaume na vita.!Ushoga ulipeleka vita ya Mungu na Nchi ardhi ya Sodoma na Gomora ikapinduliwa na Mungu hakuweka agano la kutoirudia adhabu hiyo kama Agano la kutorudia gharika unataka tuache kukemea tufikie huko.?
 
kwa akili zako ipo siku utaua hadi albino huku ukisahau yapo mambo muhimu kuliko kuua albino , hao mashoga wanapunguza nini kweny huduma za kiafya au usalama wa taifa lako au uchumi wa nchi yako ? je wanaoibia nchi matrillion na hao mashoga wapi wa kuwapiga vita ?
Afrika tunakosa vipaumbele kweny maisha yetu ndio maana tunalia umaskin , civil wars na magonjwa ya ajabu huku tumesinzia tunapambana na vitu havina maana kabisa
Sikuwa nataka kukuelekeza lolote, ila umenilazimisha nikueleweshe. Japo napata ukakasi juu ya uwezo wa mapokeo ya ubongo wako.
Ngoja twende sawa....

Kutamani au kufanya Kutekeleza na kutatua changamoto au mambo kwa uwezo binafsi ni sifa moja wapo ya Mwanaume yeyote aliekamilika.
(Kiufupi, mwanaume kamili anajiskia ufahari kujitegemea).

Moja kati ya sifa za Machoko ni kujiskia yuko salama pale anapoongozwa na kutatuliwa changamoto zake.
(Kiufupi machoko ni Lazy na hawana uwezo wa kusimama kwa miguu yao miwili bila kusaidiwa)

Ukiwa na idadi kubwa ya machoko nchini kwako basi ujue una upungufu mkubwa wa nguvu kazi nchini.

Na maendeleo yanahitaji nguvu kazi (Rasilimali watu), haswa kwa hizi nchi zetu zinazopambana kutoka kwenye umaskini.
Sasa kama una idadi kubwa ya vijana wanaojijambia hovyo kwa kulegea misuli ya matako basi andika umekwisha na utaishia kuwa taifa tegemezi.

Western countries wanalijua hilo na ndio maana wanalikomalia ili tuendelee kuwa tegemezi.

Ni angalau wangekuwa hawahamasishi huu ushetani basi usingesikia mtu akipiga kelele, ila mbaya zaidi ni kwamba wanazidi kuchochea ili machoko muwe wengi.
Sasa lazima yakemewe ili tutunze nguvu kazi ya mataifa yetu.

JITAHIDI KUUTUMIA VIZURI UBONGO WAKO, USIFKIRIE HAPA TU. JARIBU KUWAZA KWA MAPANA.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom