Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

Ni uhuru, sio limtu linakuamsha asubuhi likupige chuma mboga halafu huna stimu PUMBAVU 😡
Mtoto una tabia mbaya wewe.

Yaan hupendi cha asubuhi wakati ndio kinacholeta mood ya siku nzima. Hukuwasikia wale wanawake wa mtwara walivyosogezewa maji wakasema sasa hata cha asbh watakila kwa amani sababu zaman walikua wanakiacha ili wawahi kisimani
 
Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski

"Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
Siku zote uhuru huja na upweke.

Gharama ya uhuru ni pamoja na upweke.

Na sijaona kitu expensive duniani kama uhuru. Ndio maana kuna machawa wengi, hawana uhuru wa kuongea na kufanya.
 
Back
Top Bottom