Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

Kwangu ni uhuru Tena uhuru uliopitiliza napenda sana sipnd hekaheka
Kuna heka heka gani mtu kukusubiri unapotoka kwenye shughuli zako, unapokewa kwa hugs, kukuamsha asubuhi kwa cuddling 😁😁😁
 
Huo ni upweke jamani tuacheni kujifariji😃😂
NYerere alisema "uhuru usio na mipaka huo ni utumwa" kwa kifupi huo ni zaidi ya upweke.
Ndio maana mimi yf aliponiletea zengwe na kuondoka kuniacha peke yangu nyumbani ,nikaona acha nirud kwa wazee temporary maana ghafla nikajikuta ni uhuru wa hatari almanusura nianze kuingiza wanawake ndani.
Nikaona acha niende mahala ambako nitakuwa na hofu ya kuish kwa utaratibu nisije nikapotea😂
 
Wewe ni mtumwa wa nafsi yako na muoga.
 
Back
Top Bottom