Ni uhuru kwa sababu umeamua kufanya hivyoKutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski
"Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
Dah๐คฃNi uhuru, sio limtu linakuamsha asubuhi likupige chuma mboga halafu huna stimu PUMBAVU ๐ก
Manina ha ha haNi uhuru, sio limtu linakuamsha asubuhi likupige chuma mboga halafu huna stimu PUMBAVU ๐ก
Mtoto una tabia mbaya wewe.Ni uhuru, sio limtu linakuamsha asubuhi likupige chuma mboga halafu huna stimu PUMBAVU ๐ก
Wala sio upweke jirani, hiyo ni kero kabisaa..!!Huo ni upweke jamani tuacheni kujifariji๐๐
Mwenyewe ๐น๐นManina ha ha ha
Uhuru huo.Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski
"Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
Duh!Ni uhuru, sio limtu linakuamsha asubuhi likupige chuma mboga halafu huna stimu PUMBAVU ๐ก
Ilaaa๐๐๐๐Wala sio upweke jirani, hiyo ni kero kabisaa..!!
Bora kuamshwa na alarm kuliko kuamshwa na dyudyu ๐น๐น SIPENDIII
Siku zote uhuru huja na upweke.Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski
"Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
Ha ha ha asante,umitaja kistaili kitamu.Mwenyewe ๐น๐น
Lakini SI unalilaga kishingo upandeWala sio upweke jirani, hiyo ni kero kabisaa..!!
Bora kuamshwa na alarm kuliko kuamshwa na dyudyu ๐น๐น SIPENDIII