Hali ikiiendelea hivi tutarajie wasanii wengi kubwagwa na mameneja wao

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja.

Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows kuendesha maisha yao.

Kula ,kunywa ,kuvaa na kulipa kodi ya nyumbakwa wasanii huwa wanawategemea mabosi zao .

Mabosi wanategemea pesa yao irudi kupitia shows na digital platforms .

Sasa msanii show hapati, nyimbo hatoi na akitoa muitikio hafifu ni dhahiri mabosi zao wanaingia hasara.

Sasa hii hali ya kuwafungia vioo wasanii ikidumu angalau miezi minne bila shaka wasanii watabwagwa na mabosi zao, na watazidi kupauka.
 
Miezi minne michache HM ,hawa ni kuwafungia vioo mazima mpaka akili zao ziwe sawa.

Hakuna kuangalia youtube channels zao ,hakuna kuhudhuria shows zao ,hakuna kufanya streaming boomplay,spotify zao ,tiddle etc

Hakuna kusupport endorsements zao kwenye bidhaa.
 
Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja.

Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows kuendesha maisha yao.

Kula ,kunywa ,kuvaa na kulipa kodi ya nyumbakwa wasanii huwa wanawategemea mabosi zao .

Mabosi wanategemea pesa yao irudi kupitia shows na digital platforms .

Sasa msanii show hapati, nyimbo hatoi na akitoa muitikio hafifu ni dhahiri mabosi zao wanaingia hasara.

Sasa hii hali ya kuwafungia vioo wasanii ikidumu angalau miezi minne bila shaka wasanii watabwagwa na mabosi zao, na watazidi kupauka.
Inaweza dumu hata mwaka si kila mtu ashinde mechi zake acha mama awawekee fungu
 
Back
Top Bottom