Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Miezi minne michache HM ,hawa ni kuwafungia vioo mazima mpaka akili zao ziwe sawa.Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja.
Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows kuendesha maisha yao.
Kula ,kunywa ,kuvaa na kulipa kodi ya nyumbakwa wasanii huwa wanawategemea mabosi zao .
Mabosi wanategemea pesa yao irudi kupitia shows na digital platforms .
Sasa msanii show hapati, nyimbo hatoi na akitoa muitikio hafifu ni dhahiri mabosi zao wanaingia hasara.
Sasa hii hali ya kuwafungia vioo wasanii ikidumu angalau miezi minne bila shaka wasanii watabwagwa na mabosi zao, na watazidi kupauka.
Wameanza kufanya kazi?Majizo kaona awasemee wasanii
Majizo pia anategemea mziki redio yake ni ya burudani, Soko la mziki likifa inamuathiri mpaka yeyeMajizo kaona awasemee wasanii
Katoa boko sana leo.Majizo pia anategemea mziki redio yake ni ya burudani, Soko la mziki likifa inamuathiri mpaka yeye
Na wananchi wamekataa kwaa herufi kubwa.Majizo kaona awasemee wasanii
Inaweza dumu hata mwaka si kila mtu ashinde mechi zake acha mama awawekee funguWasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja.
Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows kuendesha maisha yao.
Kula ,kunywa ,kuvaa na kulipa kodi ya nyumbakwa wasanii huwa wanawategemea mabosi zao .
Mabosi wanategemea pesa yao irudi kupitia shows na digital platforms .
Sasa msanii show hapati, nyimbo hatoi na akitoa muitikio hafifu ni dhahiri mabosi zao wanaingia hasara.
Sasa hii hali ya kuwafungia vioo wasanii ikidumu angalau miezi minne bila shaka wasanii watabwagwa na mabosi zao, na watazidi kupauka.
Shida zake ndio zimemtuma aongee vile lakini ukimsikiliza anavyongea as if katumwa na WasaniiKatoa boko sana leo.
Kila mtu na mnyonge wake. Uvccm nunueni kaseti zao.Hii nguvu mnayotumia kwa wasanii mngeitumia kwenye kuandamana Leo chakushangaza mmeingia mitini mnatafuta mnyonge wenu