Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Kuna askari zaidi ya 40 wenye uniform wana bunduki wamezingira kanisa upande wa barabara na wengine kwa nyuma, kuna wenye uniform na wengine wamevaa kiraia, pia kuna magari ya polisi zaidi ya kumi.

Pamoja na polisi wote hao, waumini hawajaondoka, wamekaa chini ng'ambo ya barabara.

Hivi ni sababu tu Gwajima kawashauri ndio haya yote yanatokea? Hivi ingekuaje angesema watekaji na wauaji ni fulani, fulani na fulani? Haya tunayoshuhudia hata tahira mwenyewe anashangaa! We mtu gani ambaye hujifunzi kila leo unazidi kuharibu tu, tunafikiri kiwiliwili kinatembea chenyewe bila kichwa? Am so wandaz kwakweli!

Atakayekuja abadili katiba Rais na wasaidizi wake chini waweze kushtakiwa, tumalizane na upuuzi wametufanyia.

IMG_20250603_080627_095.jpg
IMG_20250603_073623.jpg

Suala hili limesababisha foleni kubwa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara Korogwe hadi Ubungo. Tunachelewa kazini sababu ya mambo ya ajabu kabisa.

IMG_20250603_071521.jpg

 
Kishindo chote hicho kumbe kanisa lake limefikia hapo tu.
 
Back
Top Bottom