ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Niliwahi sema mama ashikilie hapo hapo ila tuu kwenye biashara asiguseHii ni legacy ya Magufuli
Niliwahi sema mama ashikilie hapo hapo ila tuu kwenye biashara asiguseHii ni legacy ya Magufuli
Kuna kitu alipandikiza kibaya sana yule mzee.Wachache watakuelewa
Pita hapo halafu sema Hamza huyo 😃Natamani ajitokeze mtu awamwagie tindikali au mdunguzi awadungue…..
Kuhakikisha CCM inabaki madarakani.Hayo ndo Matumizi ya dola,Kwa mujibu WA bashiru
Chanzo cha haya yote ni bunge la mchongo lililopitisha sheria ya utekaji mwaka janaAtakayekuja abadili katoba Rais na wasaidizi wake chini waweze kushtakiwa, tumalizane na upuuzi wametufanyia.
Mkuu watu wanahasira na huyo mama wewe unaleta upumbavu wako hapa? Bora wakutukane tuu.Hii ni legacy ya Magufuli
Biashara ndio itakupeleka mbinguni shekh, usiwaze mbo ya kidunia tu nduguNiliwahi sema mama ashikilie hapo hapo ila tuu kwenye biashara asiguse
Kabisa huyo ndio muasisi wa vitu hivi..!!Hii ni legacy ya Magufuli
Na kuongeza Chuki zisizo kua na maanaWanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo
Mbingu gani ambayo unampango wa kwenda? Kwa mujibu wa imaninzenunza Wazungu na Waarabu mnaenda mbinguni Kwa kufa,jiue Sasa uende.Biashara ndio itakupeleka mbinguni shekh, usiwaze mbo ya kidunia tu ndugu
Wewe kenge una nini cha maanaKishindo chote hicho kumbe kanisa lake limefikia hapo tu.
Hamza angekuwepo angetumia nafasiNatamani ajitokeze mtu awamwagie tindikali au mdunguzi awadungue…..
Nayaona majambazi yaliyovaa uniform yakirandaranda hapo.
Hii ni legacy ya Magufuli