Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Mimi ni veggies ila sikubalini na underthinking ya kiwango cha Lady Pepeta.Kumbe wewe team jiwe? 😹😹
Kibuyu mwenyewe cazee na huyo jiwe ndo alituletea bunge la hovyo na kubaka demokrasia…!!
Halafu na wewe veggies uliyechangamka kumbe 😹😹