ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mali ya umaUnapesa ya kulinunua ,
Mali ya umaUnapesa ya kulinunua ,
Mama yangu kafa zamani sana.Na sote tumezaliwa na baba huyu huyu.Na wewe kamsaidie mama yako kujifungua mtoto aliyepewa na mtu asiye baba yako
Jeshi gani adi leo wameshindwa kumkamata kigogoWanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo
Well and good, kila mtu ametimiza haki yake.Tibuka tu cazee ila huyo jiwe ndo katuletea yote haya kuanzia bunge la watu wa hovyo ambao hawawezi hata kupinga uovu..!!
Wao kila kitu ndiooo..!! Wanawaza matumbo yao na kuimba mapambio ya mi 5 tena
Mama ni ibirisi shetani Kaburu mkoloni wa Zanzibar anawanyanya watanganyikatuseme ukweli mama abdul ni mtekaji
Kwa hii bongo bora nizamie hata sweden huko maana sijui wenzangu mnataka niniMimi sio mpinzani na wala sina chama, ila kwenye ukweli tunasema..!!
Huyo ndo kivuruge wa kila kitu
Ndo tatizo la wabongo hili, ukweli hawautaki na hawana msimamo.Hawa ndo binadamu mzee wa watu alijitahidi kutupigania wakambeza leo hii wanalalamika ufisadi, rushwa na wizi na bado wanaendelea kumbeza
Mungu anatenda yake mzimu wa magufuli upo juu sana mda si mrefu Dr mpango atakuwa Rais wa mpitoKwa hii bongo bora nizamie hata sweden huko maana sijui wenzangu mnataka nini
Binadamu hapigwi mnadaUkishapigwa wewe mnada litafuatia jengo hilo.
Kwani tusi blame na yeye ndo katuachia haya yanayoendelea sahivi? Story za kutunga na akati kila mtu anajua na ilikua wazi wazi.Muasisi yuko wapi, yani na akili timamu unakaa na kuanza ku blame marehemu?
Uzuri story za kutunga sahizi hazina maana acheni mpigwe show za bampa to bampa na Lady Pepeta.
ibirisi mkoloni toka Zanzibar sasa anawatesa watanganyika ni wakati Tanganyika idai uhuru wake muungano ufeNiliwahi sema mama ashikilie hapo hapo ila tuu kwenye biashara asiguse
Yaan hadi kutaka awe Rais wa milele, ila yule baba jamani khaaa.Tibuka tu cazee ila huyo jiwe ndo katuletea yote haya kuanzia bunge la watu wa hovyo ambao hawawezi hata kupinga uovu..!!
Wao kila kitu ndiooo..!! Wanawaza matumbo yao na kuimba mapambio ya mi 5 tena
Yeye hahitaji kuvuna kura kwani ameshaiagiza INEC imtangaze kuwa mshindi kwa 99.9% na vivyo hivyo kwa wagombea wote wa ubunge na udiwani wa chama chake.Mimi naamini Kuna watu wanamtengenezea ajali ya Kisiasa Bi mkubwa bila yeye kujua tena kumbuka Lowassa waziri mkuu na Richmond? Wakati huu wa Uchaguzi ndo kiongozi anaitaji unyenyekevu sana avune kura za wananchi then maisha yaendelee
Sawa wewe leta chokochoko uone 😀😀ibirisi mkoloni toka Zanzibar sasa anawatesa watanganyika ni wakati Tanganyika idai uhuru wake muungano ufe
Muungano ufe mkoloni toka Zanzibar aende zakeKanisa haliwezi kufungwa au kufutwa. Anayefanya hivyo anajitakia matatizo makubwa!
Wakitokea kina Hamza kama 10 mambo yatakaa sawa.Pita hapo halafu sema Hamza huyo 😃
😹😹😹 Eti cazee anamkingia kifua bila hata aibu..!! Atuambie wabunge aliotuachia jiwe walichofanya kipi cha maana mpk sasa linaenda kuvunjwa?Ukweli lazima usemwee, Magufuli ndo muasisi wa utawala wa mabavu na mambo meusi mengi.
Tujisahihishee. Lol