Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

😹😹😹 Na angekuwepo naye angejipitisha bila kupingwa..!!
Hii michezo yote yeye ndo muasisi wao, na wasukuma ving’ang’a mbona tungekuwa naye na tungetamba naye..!!
Yaan sahivi tungekua tunaongea kingosha nchi nzima, wabunge wengi walipitishwa bila kupingwa.

Viongozi wa chini yake walikua miungu watu, kina makonda, Sabaya, Happi. Etc. Lol
 
Mi nashauri uchaguzi usifanyike wamuache aendelee tu tusiendelee kuumizwa
 
Hamna cha Legacy ya Magufuli!

Ni upumbavu tu wa waliopo sasa hivi.
.
Kama mtu anafuatisha upumbavu na yeye ni mpumbavu tu

Huyu mama yenu ndio yule yule mliekuwa mnasema anaupiga mwingi kweli?
Sasa wanaiba pesa za walipa kodi kwa kisingizio cha kutuliza joto la kisiasa dawa ni Tanganyika idai uhuru wake muungano ufe kila mmoja akae kwake
 
Chanzo cha haya yote ni bunge la mchongo lililopitisha sheria ya utekaji mwaka jana
Ile sheria ya Usalama wa Taifa kufanya kila kitu pasipo kushtakiwa kwenye maswala ya majukumu yao ilikuwa dalili
 
Yaan huko UVCCM ndo balaa, vijana wadogo wanatishia wazee, vijana wasio na future wanapotea ktk lindi lefu la maisha magumu kupitia ukosefu wa ajira,

Mambo ni velee viliii, hakuna Pa kushika wala kuegemea, yule baba jamanii, khaaah.

Tena kwa huyu Gwajima aliwafokea wananchi wa kawe wamepelekee mjengoni, ila yulee 😂😂😂😂
Hao twawaweza maana hawanaga ulinzi
 
Ni matumizi mabaya ya madaraka, ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi wa Tanzania, ni matumizi mabaya ya mikopo na missada tunayokopa na kupokea toka kwa nchi na taasisi za kifedha ndani na nje ya nchi.

Ni aibu sana na matumizi mabaya ya vijana wetu wa jeshi la polisi.

Na sasa tunatangaza ajira za jeshi la polisi ili waje kuharibu utulivu wa nchi yetu badala ya kulinda amani itokanayo na zao la haki.

Naona aibu kubwa juu ya viongozi wanaokaa na kuyaratibu haya, hawa hawana nia njema na serikali iliyopo madarakana, kuna mtu anashauliwa na anapokea ushauri wa ovyo, wakiisha ondoka wanafurahia njisi walivyoweza kumchanganya.
 
Mzimu wa magufuli upo juu atakufa na Dr mpango atakuwa Rais wa mpito ccm timu magufuli wenyewe ndani ya chama hawamtaki ibirisi mama mkoloni kaburu toka Zanzibar
Anakufa lini?
 
Lissu aliposema hawa hawatishia kwa Chadema tu, na yanatimi.
 
Safi akisogea mtu hapo avunjwe bega asubuhi badala uende kazini unaenda kudanganywa kuombewa kwa kuambiwa pokea mafanikio, mafanikio ya Babako?
 
Back
Top Bottom