Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

Hii nchi bwana... angalia Watanzania wanavyosongamana kwenye daladala na mwendokasi, wamesimama tu kama mazombi, macho yamewatoka, wakiwa kwenye foleni ndefu huku wakiwa wamechoka vibaya mno asubuhi yote hii. Lakini bado wanakodolea macho kama vile hali hiyo haiwahusu.

Sijui kama ni mazoea ya shida, kuridhika na hali au kukosa exposure na kuelewa haki zao kama raia... au labda ni ile tochi inatufanya tuwe mazombi.
 
Yeye hahitaji kuvuna kura kwani ameshaiagiza INEC imtangaze kuwa mshindi kwa 99.9% na vivyo hivyo kwa wagombea wote wa ubunge na udiwani wa chama chake.
Muungano ufe mkoloni kaburu ibirisi wa Zanzibar aache kuwanyanyasa watanganyika
 
Kwa hii bongo bora nizamie hata sweden huko maana sijui wenzangu mnataka nini
Madelu alishasema ukichoka safari Burundi wewe unazamia Sweden visa unayo? 😹😹
 
Hii ni legacy ya Magufuli
Hamna cha Legacy ya Magufuli!

Ni upumbavu tu wa waliopo sasa hivi.
.
Kama mtu anafuatisha upumbavu na yeye ni mpumbavu tu

Huyu mama yenu ndio yule yule mliekuwa mnasema anaupiga mwingi kweli?
 
Jeshi gani adi leo wameshindwa kumkamata kigogo
Kigogo ni mwenzao ndan ya system.
Yuko very calculated.

Nchi hii kukombolewa kwa mara ya pili ni mpaka wao kwa wao wageukane na sio Wanaharakati wala wapinzani.

Ipo siku tu.
 
Yaan hadi kutaka awe Rais wa milele, ila yule baba jamani khaaa.
😹😹😹 Na angekuwepo naye angejipitisha bila kupingwa..!!
Hii michezo yote yeye ndo muasisi wao, na wasukuma ving’ang’a mbona tungekuwa naye na tungetamba naye..!!
 
😹😹😹 Eti cazee anamkingia kifua bila hata aibu..!! Atuambie wabunge aliotuachia jiwe walichofanya kipi cha maana mpk sasa linaenda kuvunjwa?
Wametuletea michawa na mikupe inatusumbua tu..!! Ss hivi mpk wabunge machawa, mtaani ndo usiseme. Mambo yapo vululu vululu..!!
Yaan huko UVCCM ndo balaa, vijana wadogo wanatishia wazee, vijana wasio na future wanapotea ktk lindi lefu la maisha magumu kupitia ukosefu wa ajira,

Mambo ni velee viliii, hakuna Pa kushika wala kuegemea, yule baba jamanii, khaaah.

Tena kwa huyu Gwajima aliwafokea wananchi wa kawe wamepelekee mjengoni, ila yulee 😂😂😂😂
 
Majeshi Majeshi, tutumieni mishale ya Bwana iliyompata Ahabu aliyevaa mavazi ya chuma. Mungu yuko upande wetu,
 
Hii nchi bwana... angalia Watanzania wanavyosongamana kwenye daladala na mwendokasi, wamesimama tu kama mazombi, macho yamewatoka, wakiwa kwenye foleni ndefu huku wakiwa wamechoka vibaya mno asubuhi yote hii. Lakini bado wanakodolea macho kama vile hali hiyo haiwahusu. Sijui kama ni mazoea ya shida, kuridhika na hali au kukosa exposure na kuelewa haki zao kama raia... au labda ni ile tochi inatufanya tuwe mazombi.
Amos makala Bishungwa IGP wao wanaomba bilion 15 hazina kwa kazi maalum wanagawana pesa kiwizi zingine IGP anarundiks bank kwa kazi ya kuwaonea watu kuwapiga kuwabambikia kesi ushetani wa kutisha sana, ni wakati Tanganyika idai uhuru wake kabla ibirisi mama iddy Amini dada hajawamaliza watanganyika kwa kuwatoa kafara kupitia utekaji wa Polisiccm
 
Yaan huko UVCCM ndo balaa, vijana wadogo wanatishia wazee, vijana wasio na future wanapotea ktk lindi lefu la maisha magumu kupitia ukosefu wa ajira,

Mambo ni velee viliii, hakuna Pa kushika wala kuegemea, yule baba jamanii, khaaah.

Tena kwa huyu Gwajima aliwafokea wananchi wa kawe wamepelekee mjengoni, ila yulee 😂😂😂😂
Kujitambua na ukosefu wa ajira ni chanzo
 
Back
Top Bottom