Hali ilivyo kuwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana katika kesi ya Shekh Ponda

Hali ilivyo kuwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana katika kesi ya Shekh Ponda

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
[h=3]KESI YA SHEKH PONDA JANA[/h]

Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa mali inayo mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake leo imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku Polisi wakiwa katika doria kali ya kuimarisha ulinzi katika viunga jirani na Mahakama hiyo ambayo imejizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kwa jinsi inavyo endesha kesi na watu wa aina mbalimbali kufikishwa katika mahakma hiyo kabla ya baade kesi zao kuhamia Mahakama Kuu kwa hatua zaidi za kisheria.

Father Kidevu Blog ilikuwepo kufuatilia matukio ya hapa na pale na zifuatazo ni picha mbali mbali za tukio hilo na pia kesi hiyo inataraji kuendelea tena Mahakamani hapo kesho.

Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa katika basi la Magereza tayari kwa kurejeshwa Mahabusu.

Msafara ukianza kutoka Mahakama ya Kisutu

Wafuasi waliokuwa nje wakiimba wakati gari likitoka

2.jpg

Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa Pondawakilifuatilia gari lililombeba kiongozi wao wakati akitoka Mahakama ya Kisutu.

Mkazi wa jiji akipita kando ya kundi la Askari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkzi Kisutu wakati Askari hao walipo imarisha Ulinzi nbje ya Mahakama hiyo.

Ustaadh huyu alitishiwa na Mbwa akataka kutoka baruti

Wengine zaidi wakitoka Mahakama ya Kisutu

Wakiwapokea na kuwapongeza wenzao wanao tuhumiwa pamoja na Ponda

Kundi la Wafuasi likiwa limejikusanya karibu na Jengo la Sophia House huku Polisi wakiwa kando yao.

Doria barabarani nayo ilikamilika

Ulinzi ulikuwa ni wa Uhakika

Mbwa maalum wa Polisi nao walikuwa kazini hapa wakikata kiu kutokana na jua kali.

Hapa ni Fanya Fujo Uone kilicho mfanya Kanga akose Manyoya shingoni

Kikosi maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKM) nacho kilikuwepo

Picha Kwa Hisani ya Father Kidevu Blog

waharakishe hukumu kupunguza kero hii

Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa mali
inayo mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake leo imeendelea katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku Polisi wakiwa
katika doria kali ya kuimarisha ulinzi katika viunga jirani na Mahakama
hiyo ambayo imejizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es Salaam na Tanzania
kwa ujumla kwa jinsi inavyo endesha kesi na watu wa aina mbalimbali
kufikishwa katika mahakma hiyo kabla ya baade kesi zao kuhamia Mahakama
Kuu kwa hatua zaidi za kisheria.

Father Kidevu Blog ilikuwepo kufuatilia
matukio ya hapa na pale na zifuatazo ni picha mbali mbali za tukio hilo
na pia kesi hiyo inataraji kuendelea tena Mahakamani hapo
kesho.

Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa katika basi
la Magereza tayari kwa kurejeshwa Mahabusu.

Msafara ukianza kutoka Mahakama ya
Kisutu

Wafuasi waliokuwa nje wakiimba wakati
gari likitoka

2.jpg

Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa
Pondawakilifuatilia gari lililombeba kiongozi wao wakati akitoka
Mahakama ya Kisutu.

Mkazi wa jiji akipita kando ya kundi la
Askari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkzi Kisutu wakati Askari hao walipo
imarisha Ulinzi nbje ya Mahakama hiyo.

Ustaadh huyu alitishiwa na Mbwa akataka
kutoka baruti

Wengine zaidi wakitoka Mahakama ya
Kisutu

Wakiwapokea na kuwapongeza wenzao wanao
tuhumiwa pamoja na Ponda

[FONT=Geo​
 
.... nice photoes, hawa jamaa wawe watulivu, nchi yetu inaongozwa kwa sheria, wapambane na sharia, sio kutumia UGALI, Sheikh ponda na wafuasi wake Wajifunze kutoka ka Mtikila,........ kama waisilamu tumedhulumiwa, tufunfue mashitaka mahakamani, halafu tutafute wakili asimamie kesi....! hivi ndivyo mambo yanatakiwa kwenda
 
Naskia ukitaka kuwadhibiti hawa wala usitumie Mbwa, bunduki wala mabomu wewe tumia NOAH tu watakimbia wenyewe
 
waharakishe hukumu kupunguza kero hii

Mkazi wa jiji akipita kando ya kundi la
Askari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkzi Kisutu wakati Askari hao walipo
imarisha Ulinzi nbje ya Mahakama hiyo.

Huyu mama kwenye nchi za wenzetu asingeweza kuwakabia maaskari kiasi hiki! Wanajibebesha mabomu ya muhanga hawa

Ponda kamanda wetu kuwa mvumilivu,allah yuko pamoja nawe.Wewe sio wa kwanza kukaa gerezani.Alikaa nabii Yusuph na nk.Pia nelson mandela lakini alitoka.Mzee wetu Bilali waikela alifungwa na Nyerere but alitoka akiwa hai mpaka sasa anadunda.Ukweli utadhihiri na wanafsi si muda mrefu wataumbuka.
 
Kuna msikiti mitaa ya home ,wanadai mbona Lulu amepewa dhamana halafu Ponda anyimwa?
 
Siku kama hii si yakuwasogelea sana hawa hawachelewi kujito mhanga na we ukawa mhanga wa mabomu!
 
Ponda kamanda wetu kuwa mvumilivu,allah yuko pamoja nawe.Wewe sio wa kwanza kukaa gerezani.Alikaa nabii Yusuph na nk.Pia nelson mandela lakini alitoka.Mzee wetu Bilali waikela alifungwa na Nyerere but alitoka akiwa hai mpaka sasa anadunda.Ukweli utadhihiri na wanafsi si muda mrefu wataumbuka.
Your I.D tells everything !
 
Kuna msikiti mitaa ya home ,wanadai mbona Lulu amepewa dhamana halafu Ponda anyimwa?

Lulu kaua bila kukusudia na kaua mtu mmoja madhara ya Ponda lbda ni yakuangamiza a good number of wa TZ ndio maana anawekwa Lupango kuepusha.
 
Ponda kamanda wetu kuwa mvumilivu,allah yuko pamoja nawe.Wewe sio wa kwanza kukaa gerezani.Alikaa nabii Yusuph na nk.Pia nelson mandela lakini alitoka.Mzee wetu Bilali waikela alifungwa na Nyerere but alitoka akiwa hai mpaka sasa anadunda.Ukweli utadhihiri na wanafsi si muda mrefu wataumbuka.
Kamanda kwa lipi hasa?
 
.... nice photoes, hawa jamaa wawe watulivu, nchi yetu inaongozwa kwa sheria, wapambane na sharia, sio kutumia UGALI, Sheikh ponda na wafuasi wake Wajifunze kutoka ka Mtikila,........ kama waisilamu tumedhulumiwa, tufunfue mashitaka mahakamani, halafu tutafute wakili asimamie kesi....! hivi ndivyo mambo yanatakiwa kwenda

Bora hata ungekaa kimya tungejua pengine unajua,sasa kama unajua sheria kesi ya ponda ni ya kunyimwa dhamana??to upuuzi wako hapa
 
Hivi ushahidi haujakamilika jamani? Naomba waniite hata mimi nikatoe ushahidi kwa huyu gaidi.... tuanze kutembea kwa raha mjini siku za ijumaaa..
 
Ili kupunguza "Jam" hii kesi haiwezi kuhamishiwa sehemu nyingine mfano Bagamoyo au Kibaha kama walivyohamisha kesi ya Mbunge wa Arusha?
 
Hahahhahaaaa Mpwa humjui NOAH hahahhaaaa umenichekesah sana asana Mpwa Noah ni kitimoto aka Mbusi Katoliki....ukiwa nao wachache tu watasaidia sana kuzuia maanadamano yao...yaaani unawatanguliza mbeele yao tu hio inatosha kabisa kuwazuia kwani hakuna hata mmoja atakayekanyaga maeneo hayo japo wakiwa sirini wanagonga sana ile kitu
Sijakupata mkuu umeniacha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"Noah" inafanana na "mnyama fulani" hivi ambaye hapendwi na hawa wafuasi wa sheikh Ponda. Hapa imetumika lugha ya picha.
 
Wanapoteza muda tu wamwachie tuu hawezi kuumaliza Ukristu duniani hata iweje atakufa na ukristu utabakia kwani ulikuwapo hata kabla ya Muhamadi SAW.
 
Back
Top Bottom