Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo na Uzima

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda.
‎
Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa tangazo rasmi la kuruhusu waumini wa kanisa hilo kuendelea na shughuli zao, ikiwa ni baada ya kufungiwa Juni 2, 2025.

Na Novemba 25, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando, alikutana na uongozi wa kanisa hilo na kuwaruhusu rasmi kuendelee na shughuli zao za kidini.

​
 
Hapo ni kanisani au walikuwa wanaandamana na kama walikuwa wanaandamana je intelijensia ya Polisi haikuweza kuona?
Kanisani ufufuo na uzima lipo very UNIQUE..

HAO UNAO WAONA WANAITWA KIKOSI BENDERA....

KUNA MASHUJAA WA DAUDI.. PALE KUNA MINISTRY NYINGI SANA NA WATU WANAFUNDISHWA ""SOMO LA KUAMBATANA""

Of course GWAJIMA kaweza kutengeneza MEGA CHURCH...

SALAMU YAO NI MAJESHI MAJESHII...WANAITIKA MAJESHI YA BWANAAAA

YAKO WAP MAJESHIII....WANASHIKA UPANDE WA KUSHOTO KIFUANII....

YAKIPIGA MAJESHI..WANAITIKAA YANAUA KABISAA..

NB. HAO UNAO WAONA KWENYE PICHA NI MAJASUSI YA MBINGUNI.
 
Screenshot_20251119-103538~2.png
 
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda.
‎
Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa tangazo rasmi la kuruhusu waumini wa kanisa hilo kuendelea na shughuli zao, ikiwa ni baada ya kufungiwa Juni 2, 2025.

Na Novemba 25, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando, alikutana na uongozi wa kanisa hilo na kuwaruhusu rasmi kuendelee na shughuli zao za kidini.

Wacha na mimi niwahi ibadani hapo.
 
Maombi hayakusaidia kufungua mpaka walipopata huruma za Mama.

Uwezo wa Mungu nao unatia mashaka sana, yaani Mwanadamu anafunga kanisa la Mungu huku Mungu naye anatazama tu? Au haya makanisa sio ya Bwana?
 
Kanisani ufufuo na uzima lipo very UNIQUE..

HAO UNAO WAONA WANAITWA KIKOSI BENDERA....

KUNA MASHUJAA WA DAUDI.. PALE KUNA MINISTRY NYINGI SANA NA WATU WANAFUNDISHWA ""SOMO LA KUAMBATANA""

Of course GWAJIMA kaweza kutengeneza MEGA CHURCH...

SALAMU YAO NI MAJESHI MAJESHII...WANAITIKA MAJESHI YA BWANAAAA

YAKO WAP MAJESHIII....WANASHIKA UPANDE WA KUSHOTO KIFUANII....

YAKIPIGA MAJESHI..WANAITIKAA YANAUA KABISAA..

NB. HAO UNAO WAONA KWENYE PICHA NI MAJASUSI YA MBINGUNI.
Wew kwakua unaijua hii salamu..lazima itakua muumini wake
 
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda.
‎
Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa tangazo rasmi la kuruhusu waumini wa kanisa hilo kuendelea na shughuli zao, ikiwa ni baada ya kufungiwa Juni 2, 2025.

Na Novemba 25, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando, alikutana na uongozi wa kanisa hilo na kuwaruhusu rasmi kuendelee na shughuli zao za kidini.

Kama ilivyokuwa October 29 .. D9 pia itaanzia hapa
 
Maombi hayakusaidia kufungua mpaka walipopata huruma za Mama.

Uwezo wa Mungu nao unatia mashaka sana, yaani Mwanadamu anafunga kanisa la Mungu huku Mungu naye anatazama tu? Au haya makanisa sio ya Bwana?
Ndugu MARK your post!
Muda sio mrefu utapata majibu ya ulichoandika hapo juu.
Mungu Hadhihakiwi
 
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda.
‎
Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, alitoa tangazo rasmi la kuruhusu waumini wa kanisa hilo kuendelea na shughuli zao, ikiwa ni baada ya kufungiwa Juni 2, 2025.

Na Novemba 25, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando, alikutana na uongozi wa kanisa hilo na kuwaruhusu rasmi kuendelee na shughuli zao za kidini.

Yaani hao wote Mzanzibari Samuya alikuwa kawazuia kusali, dah!
 
Back
Top Bottom