Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo na Uzima

Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo na Uzima

Maombi hayakusaidia kufungua mpaka walipopata huruma za Mama.

Uwezo wa Mungu nao unatia mashaka sana, yaani Mwanadamu anafunga kanisa la Mungu huku Mungu naye anatazama tu? Au haya makanisa sio ya Bwana?
Raha ya Mungu hua hafanyi vitu kwa sifa kama ufanyavyo wewe unapoenda kumhonga hawara yako,
So relax haya mambo ni supernatural sana kiasi kwamba utaona akili zako ndio zimefanya kazi na ndio anguko lako linapotokea kujiinua na kiburi cha Ibilisi kujiona ni wewe na sio Mungu kafanya!
 
Mkuu Gaza huko wanafumuana sana wauwaji wa Gaza wanatamba na wala hawana wasi wasi na Mungu hajafanya intervention yoyote.
 
Serikali acheni kucheza na imani za watu, Mnawaona walivyo na furaha wenyewe pamoja na moto mliowapitisha?

Busara ikawashike.
 
Maombi hayakusaidia kufungua mpaka walipopata huruma za Mama.

Uwezo wa Mungu nao unatia mashaka sana, yaani Mwanadamu anafunga kanisa la Mungu huku Mungu naye anatazama tu? Au haya makanisa sio ya Bwana?
Mama yako yupi , yule Kahaba wa Kizim
 
Nimefurahi sana watu kuweza kutimiza haki yao ya kibinadamu na kikatiba kuabudu wanavyotaka, hata kama sikubaliani nao katika imani yao.

Sasa inatakiwa waliofungia kanisa wawajibishwe na wajieleze walifungia haki hii ya kikatiba na kibinadamu kwa misingi gani na sheria gani?
 
Kwanin umkataze kufanya ibada.
Namnukuu marehemu Albert mangwair..

Kwenye wimbo wake wa ""MASKINI WENZANGU""

Kuna mashair yanasema... Ndio maana wazanzibar wamechoka KUTANGANANYIKA...

Lete mgomo BARIDI uijue serikali..EMBU MUULIZE ULIMBOKA UMUHIMU WA MADAKTARI.

NB.NILI MKATAZA SABABU NI MTU MZIMA 55'S HATA ZINGETOKEA MSHIKE. MSHIKE NDEGE TUNDUNI ASINGE WEZA KUKIMBIA HARAKA HARAKA KAMA VIJANA
 
Back
Top Bottom