Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Raha ya Mungu hua hafanyi vitu kwa sifa kama ufanyavyo wewe unapoenda kumhonga hawara yako,Maombi hayakusaidia kufungua mpaka walipopata huruma za Mama.
Uwezo wa Mungu nao unatia mashaka sana, yaani Mwanadamu anafunga kanisa la Mungu huku Mungu naye anatazama tu? Au haya makanisa sio ya Bwana?
Kanisa lilifungwa waliomba sana wakafunga na kufungua haikusaidiaNdugu MARK your post!
Muda sio mrefu utapata majibu ya ulichoandika hapo juu.
Mungu Hadhihakiwi
Mkuu Gaza huko wanafumuana sana wauwaji wa Gaza wanatamba na wala hawana wasi wasi na Mungu hajafanya intervention yoyote.Raha ya Mungu hua hafanyi vitu kwa sifa kama ufanyavyo wewe unapoenda kumhonga hawara yako,
So relax haya mambo ni supernatural sana kiasi kwamba utaona akili zako ndio zimefanya kazi na ndio anguko lako linapotokea kujiinua na kiburi cha Ibilisi kujiona ni wewe na sio Mungu kafanya!
Mama yako yupi , yule Kahaba wa KizimMaombi hayakusaidia kufungua mpaka walipopata huruma za Mama.
Uwezo wa Mungu nao unatia mashaka sana, yaani Mwanadamu anafunga kanisa la Mungu huku Mungu naye anatazama tu? Au haya makanisa sio ya Bwana?
Kuna ndugu yangu alitaka kwenda hapo nimemkatazaWacha na mimi niwahi ibadani hapo.
Kwanin umkataze kufanya ibada.Kuna ndugu yangu alitaka kwenda hapo nimemkataza
Namnukuu marehemu Albert mangwair..Kwanin umkataze kufanya ibada.