Hali ilivyo nchini Somalia

Kama ni kuzuri kwanini Kila siku wanakimbia kwao? Umewahi kuona watu wanakimbilia Somalia?

Ukienda Ethiopia si ndo utasema ni mbinguni ila Kila siku Ethiopians wanashikwa kwenye malori hapa.

Grass is always greener on the other side.
Bora ugali wa chumvi kwenye amani kuliko ugali kuku vitani.

Huko hata wanunue kilo moja kwa sh 200 bado watu watakimbia. Kila siku mabomu yanalipukan nani sasa atakaa.
 
Kama ni kuzuri kwanini Kila siku wanakimbia kwao? Umewahi kuona watu wanakimbilia Somalia?

Ukienda Ethiopia si ndo utasema ni mbinguni ila Kila siku Ethiopians wanashikwa kwenye malori hapa.

Grass is always greener on the other side.
Regional disparity zipo sehemu nyingi sana duniani, ndio maana ukienda Addis Ababa utasema capital ya Africa ila ukiingia ndani ndani huko Ogaden utasema hii nchi ni maskini wa kutupwa!!
 
Mi baba'ko nakuzaa kabisa wewe kuwa na adabu.

Pili umeweka chumvi nyingi sana.
 
Siwezi kuwa na baba Kama wewe
Chumvi nimeiweka wapi? Alafu mm siisifii Somalia kwa kuwa najua kilichopo huko. Nilichosifia ni uwezo wao wa kupima viwanja maelfu na kuchonga barabara kabla ya watu kujenga au kuhamia.
Mi pia siwezi kuwa na mtoto kama wewe.

Pili Somalia umeikuza sana.
 
Hiyo alshabaab unaipotezea utadhani ni kitu kidogo....imagine umekaa zako unakula mkate mgahawani mara paap! majamaa yanavamia na silaha yanakusanya Kodi ya kichwa kama jina lako sio la kiarabu.
 
Sasa ulitaka awekeje. Yaan unafananisha na Sudan ya kusin hii iliyopata uhuru juzi juzi tu hapa. make wao tangu wapate uhuru wanapigana. Make Ile ya warabu inatuzidi maendleo mbali sana.
Hayo maendeleo ya Somalia yako wapi!?..maendeleo yanapimwaje!?
 
Huwezi kuwa na mtoto mwenye akili Kama mimi
Alafu wewe dada sikia, najua life la Somalia hakuna nilipoikuza. Nimezungumzia kipengele hiko Cha kwenye kupima plots. Ambacho huelewi nini?
Hahahahaha countrywide nawewe unajiweka katika kundi la watu wenye akili? Hahahahahaha!!
 
Aisee,nimesikitika sana,kwanini sisi lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…